Atongelea waliocheza nao kombolelaSolution ni kuwa na bikira tu.
Kwa kweli 😂😂
Tembeza mkwara mzito sanaMtu wangu akianza kuongelea mahusiano yake ya nyuma. Vipi kwa upande wako mdau.
Kabisa.....toa onyo kali sana...
Mgegede hadi aache kuyaongelea, inaonekana kabla yako alikuwa anagongwa na wanaume wa kazi we mpapase tu utaonaMtu wangu akianza kuongelea mahusiano yake ya nyuma. Vipi kwa upande wako mdau.
Na kwanini aongelee hayo mambo hata kama ni mazuri??....unampa nafasi basi ya kufanya hivyo Mtui,.Anaweza ongelea mazuri au mabaya ya previous relationship