Huwa najisikia hovyo sana

Huna mke hapo " .... mkuu sio mke tu hata gf/bf kukaa nakuongelea nahusiano yake ya nyuma kila mara hiyo ni signals unapewa kuwa umefuga Bomu .....so jiandae kupasuka vipande vipande litakapo lipuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake bado anampenda anayemzungumzia, Kama shida yako ni mbunye unavaa miwani ya mbao unamsikiliza aki expire unam dump hakuna mtu hapo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom