Huwa naenjoy kumchek zembwela

Huwa naenjoy kumchek zembwela

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Zembwela ni mmoja kati ya watangazaji nnaowakubali kinoma. I'm now watching uswazi
 
Uswazi ilikuwa wakati ule musa hussein zembwela anajitahidi thou .

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Uzuri wa zembela ana vineno fulani vikali ila anavitoa kiutani. Mi namuelewa
 
Keep on looking him. hata mimi namkubali japo muda wa kuangalia tv hakuna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom