Huwa mnadeal vipi na watu hawa

Huwa mnadeal vipi na watu hawa

Ukitongoza mmoja kati ya kundi la watu ambao wako free, hayo lazma yakukute.....

Mwanafunzi levo zote hadi chuo.
Dada wa kazi, mchana yupo free familia haipo.
Mtu asiejishughulisha na chochote hana kazi wala nini.

Ndo jiandae mameseji ya xaxa, mamb, pg, umexhakula.
 
KWanini usimvumilie mtoto wa Mamkwe jamani
kuna namna inakera mtu kukupigia pigia simu halafu hamna cha maana mnaongea,. na ukute una mikazi kibao inakusubiri

mkiamka mnaongea baada ya hapo kila mtu aendelee na mishe zake hadi mda wa break au lunch na usiku baada ya miahughuliko mnaongea mnalala baasi inatosha,. kupigiana pigiana labda kuwe na dharura
 
Ukitongoza mmoja kati ya kundi la watu ambao wako free, hayo lazma yakukute.....

Mwanafunzi levo zote hadi chuo.
Dada wa kazi, mchana yupo free familia haipo.
Mtu asiejishughulisha na chochote hana kazi wala nini.

Ndo jiandae mameseji ya xaxa, mamb, pg, umexhakula.
Shida watu wanag:ang'ania

Shida watu wanang'ang'ania kuwa na mahusiano na watu ambao sio Rika lao,,inatakiwa watu wa Rika moja ndio wawe kwenye mahusiano 2000 atembee na 2000 mwenzie,,,1990's atembee na 1990' mwenzie nakadhalika.tena watu wasipishane zaidi ya miaka 6 ila sasa watu wanafanya shaghalabaghala,matokeo yake kila mtu anamuona mwenzie anazingua😂😂
 
Mkuu unachezea bahati sana. Huyo mwanamke anakupenda sana. Ni nadra sana kukutana na mtu anekupenda hivyo. Ungemkalisha chini ukamueleza vzr angekuelewa.

Ngoja umpata ambae hana muda na wewe kabisa utamkumbuka.

Anyways nipasie namba yake mkuu kama hutojali
Akupe namba hiyo sio hawa wengine ukiona kakucheki ujue kizinga kinafuata
 
Mkuu unaongeaje na mtu masaa mawili,huoni kama wewe na yeye ni akili sawa ila wewe umemzidi kidogo

Pole sana
Kama aliweza kuongea nae masaa mawili that means ulimuonyesha kuwa una muda wa kutosha

Kama uliacha akupigie simu mara kwa mara hapo ulimuonyesha it's okay

Sasa baadae unamuona ni tatizo,kiuhalisia wewe ni tatizo

Pili kumwacha kwa kosa hilo na huku hujamwambia kosa lake na kujirekebisha ni tatizo

Expert wangu umefeli big time

Next time kuwa wazi mapema kwamba ninashughuli nyingi siwezi kuwasiliana kila mda,sasa kazi kwake akubali mfumo au laa

Tutokomeze usimp
 
Back
Top Bottom