Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,136
- 18,792
Salute comrades.
Acha nisemee upande wa wanaume wenzangu kuhusu hili suala la mtu kuwa na hii tabia ya kukupigia pigia simu na kutumia message kila wakati baada ya nyinyi kubadilishiana mawasiliano.
Mimi kuna dada mmoja nilikutana naye sehemu nikavutiwa naye nikaamua kumtongoza na bahati akanielewa akajaa kwenye mfumo.
Tukabadilishana mawasiliano( number za simu) kisha tukagaana.
Kimbembe kikaanza sasa.Yule dada akawa hakauki kupiga piga simu mixer kunitumia message bila kikomo.
Yeye hata hajali kama mtu upo bize na mambo mengine anataka muongee na kuchat muda wote kama vitoto vya shule za msingi.
Kuna Muda anaeza kupigia simu mkaongea hata masaa mawili mfululizo na mkitoka kwenye simu anaanza kujitumisha message kama chizi Fulani hivi.
Imagine mtu anaeza kupigia simu zaidi ya mara 7 kuanzia asubuhi,mchana,jioni na usiku.
Anapiga simu usiku saa Saba eti tuongee, Kesho saa kumi na moja alfajiri anakuamsha na mimeseji😏
Nilifika Mahali nikaanza kumchoka nikawa napotezea simu zake na message nachelewa kujibu ama Muda mwingine sijibu kbsa.
Akawa analalamika Sana eti mbona simpi attention bla bla bla.
Nikaamua kumpotezea mazima ikawa ndo imetoka hiyo.
Mimi siwezi kushinda nyuma ya keyboards Muda wote eti naona na mtoto wa mtu eti kisa nampenda.
Sijui watu huwa wanawezaje haya mambo.
Kwanza huwa sipendi kuongea ongea kwa simu.
Wanajf huwa mnadeal vipi na watu Wenye Tabia za kushoboka shoboka