Mkuu nasikia ati tatizo utaliona pale panya road wakitokea,
Wakija hao panya road me ntakuwa wa kwanza kukimbia maana napenda kuendelea kuishi na maisha hayanunuliwe popote pale, Najijua sina uwezo wakupigana na watu ishirini nijitunisishe ili iwaje sasa,, Kiongozi me ntakimbia tu.