Limekosa pilipili tu
Limekosa pilipili tu
Hindi na pilipili tena? Unapunguza radha mkuu..
Yaleyaleee!! waliyopiga kelele wadau kutoka kanda ya ziwa
Hahahahahahahah!!! Bahati nzuri huwa siishi kwa mitazamo ya wengine katika maisha yangu!! Kwani inapunguza nini nikila na pilipili pamoja na ndimu??
Tumuite yule mdau aliyelalamika aje atudadavulie
Yule maisha yashamchanganya aisee
Hahahahahahahah!!! Bahati nzuri huwa siishi kwa mitazamo ya wengine katika maisha yangu!! Kwani inapunguza nini nikila na pilipili pamoja na ndimu??
Tumuite yule mdau aliyelalamika aje atudadavulie
Hahahahahaa... una hasira nae!! na haziissh