Huunimtego au jini

Huunimtego au jini

MAGUNDI

Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
7
Reaction score
0
wana jukwaa habari za michakato naomba ushauri wenu juzi jumamoc trh 10 ya mwez na mwaka huu muda wa saa8mchana nilibipiwa na new number baada ya kuigia akapokea msichana na nilipo muuliza we nani?akadakia na kuniita john umenisahau?nikamwambia mi si john nikamtajia jina langu lakini ikawa hataki akaniambia anaitwa HUSNA anasoma chuo cha ualimu korogwe G.A anadai kuwa alikutana na huyo john maeneo ya manundu korogwe katka maongezi wakapeana namba za cm lakn yeye alipoteza cm hivyo amepata nyingine na kubadili namba na ile ya john kaisahau akaikumbuka kwa mbali akaona apige ndo ikatokea kwangu lakini cha ajabu anadai mim ndo john kumbe laa nilikata cm lakn ucku akapiga na kuanza kulia akidai mi ndo john kiukweli mi sio john ingawa ni mkazi wa korogwe lakin kwa sasa niko chuo dodoma nimemsihi hataki kawa king'ang'anizi cha ajabu jana kanipigia na kudai kuwa huyo john hana haja nae kamfuta ananipenda mimi Loooh na analia kwa ajili yangu najiuliza huyu niJINI au DEMU WANGU KANITEGEA MTEGO? Jamani hii imekaaje kila nikimpa ukweli hataki analia na anataka aje dodoma anione MUNGU WANGU!eti ananipenda sna na analia kila nikiongea nae hata rafiki zake wananipigia na kudai usiku halali analia kwa kutaka penzi langu cha ajabu hanijui simjui nifanyeje jamani
 
SUALA HILI SIO ISHU, WE LIWEKE MEZANI MLIDISKASI NA MPENZI WAKO ILI MFIKIE UAMUZI WA KUMTEGA HUYO HUSNA...USIKOMAE NALO PEKE YAKO KWANI KM HUYO GF WAKO HAJUI CHOCHOTE HALAFU AKIJA KUJUA BAADAE INAWEZA KUWA SOO...SO MUWEKE WAZI MFIGHT KWA PAMOJA..kila la kheri Inshaallah!
 
Anakulilia kwani umekufa? Achana na hizo simu zake... pia unaweza uka-block namba yake. Sasa kama na wewe unaendekeza mapenzi ya simu, endelea kupokea hizo namba zake.
 
Kama humtaki unataka sisi tukushauri nini?...namba umeshaijua kinachokufanya uendelee kuipokea hiyo simu ya HUSNA ni nini?
Matatizo mengine huwa mwayakaribisha halafu baadae mtakuja hapa kuomba ushauri...hebu tuwacheni tupumue, mnatumalizia wino wa vi-board vyetu alaaah!
 
Lala 1 na Ciello njooni msaidie huku!!
 
Huyu atakuwa mbondei kama siyo mdigo.
 
Ishu ndogo kama hiyo inakuumiza kichwa mkuu,ita mtoto aje Dom
akifika mthaminishe ukiona analipa kula mzigo,pandisha bus arudi korogwe
then songesha na kitabu,boom si mmeshapata?
 
jini hilo, ohooo, shauri yako. kama ni demu wako anakulia mingo mbona siku hizi unampigia namba mtu anarusha walau hata mia tano tu unapata jina la mwenye namba lililosajiliwa,...si ufanye hivyo ujue kama huyo ni husna au demu wako? kama ukiona kweli ni husna basu jua hilo ni jini, na likikumendea hautakuja uoe litavuruga uhusiano wako na wengine maisha yote.
 
wana jukwaa habari za michakato naomba ushauri wenu juzi jumamoc trh 10 ya mwez na mwaka huu muda wa saa8mchana nilibipiwa na new number baada ya kuigia akapokea msichana na nilipo muuliza we nani?akadakia na kuniita john umenisahau?nikamwambia mi si john nikamtajia jina langu lakini ikawa hataki akaniambia anaitwa HUSNA anasoma chuo cha ualimu korogwe G.A anadai kuwa alikutana na huyo john maeneo ya manundu korogwe katka maongezi wakapeana namba za cm lakn yeye alipoteza cm hivyo amepata nyingine na kubadili namba na ile ya john kaisahau akaikumbuka kwa mbali akaona apige ndo ikatokea kwangu lakini cha ajabu anadai mim ndo john kumbe laa nilikata cm lakn ucku akapiga na kuanza kulia akidai mi ndo john kiukweli mi sio john ingawa ni mkazi wa korogwe lakin kwa sasa niko chuo dodoma nimemsihi hataki kawa king'ang'anizi cha ajabu jana kanipigia na kudai kuwa huyo john hana haja nae kamfuta ananipenda mimi Loooh na analia kwa ajili yangu najiuliza huyu niJINI au DEMU WANGU KANITEGEA MTEGO? Jamani hii imekaaje kila nikimpa ukweli hataki analia na anataka aje dodoma anione MUNGU WANGU!eti ananipenda sna na analia kila nikiongea nae hata rafiki zake wananipigia na kudai usiku halali analia kwa kutaka penzi langu cha ajabu hanijui simjui nifanyeje jamani

Kweli wewe MAGUNDI unataka unase hapo, pole utanasa kweli.
 
huyo ni manzi ako anakuchora tu, ukikaa nae chukua simu yake afu mpigie huyo husna isipopatikana ujue mkeo anakuchora, ikiita isipokewe still ni mkeo, sasa ikipokelewa ndo kasheshe, either kapanga na mwenzake au unawasiliana na shetwani, lkn si umwombe hata facebook a/c yake kwanza, ushamwomba? usije enda pokea mrembo stand akaanza futa vumbi kwenye kwato zake tehee . :becky:
 
ni raihisi sana kumtambua mrushie 2 jero kupitia tigo pesa au m-pesa fasta utamjua na kama co dem wako block number yake au mpe dem wako namba yake alonge nae y uumize kichwa kwa vitu vidogo kama ivyo
 
wana jukwaa habari za michakato naomba ushauri wenu juzi jumamoc trh 10 ya mwez na mwaka huu muda wa saa8mchana nilibipiwa na new number baada ya kuigia akapokea msichana na nilipo muuliza we nani?akadakia na kuniita john umenisahau?nikamwambia mi si john nikamtajia jina langu lakini ikawa hataki akaniambia anaitwa HUSNA anasoma chuo cha ualimu korogwe G.A anadai kuwa alikutana na huyo john maeneo ya manundu korogwe katka maongezi wakapeana namba za cm lakn yeye alipoteza cm hivyo amepata nyingine na kubadili namba na ile ya john kaisahau akaikumbuka kwa mbali akaona apige ndo ikatokea kwangu lakini cha ajabu anadai mim ndo john kumbe laa nilikata cm lakn ucku akapiga na kuanza kulia akidai mi ndo john kiukweli mi sio john ingawa ni mkazi wa korogwe lakin kwa sasa niko chuo dodoma nimemsihi hataki kawa king'ang'anizi cha ajabu jana kanipigia na kudai kuwa huyo john hana haja nae kamfuta ananipenda mimi Loooh na analia kwa ajili yangu najiuliza huyu niJINI au DEMU WANGU KANITEGEA MTEGO? Jamani hii imekaaje kila nikimpa ukweli hataki analia na anataka aje dodoma anione MUNGU WANGU!eti ananipenda sna na analia kila nikiongea nae hata rafiki zake wananipigia na kudai usiku halali analia kwa kutaka penzi langu cha ajabu hanijui simjui nifanyeje jamani

Kiukweli hawa viumbe wanamatatizo.nami ilitokea 2009 kanipigia halafu akaniambiakuwayeye ananipenda nikamwuliza kamaananimanya,kajibu ananijua atitulikutana mnzese.nikamkatalia lkn yy kang'ang'ania.mwisho wasiku kaniambia yupo rock city.nasasa ananiambia yupo bukoba.na anaomba nimtumie nauli aje.ndugu sio wewe tu!. yamewakuta wengi.kiukweli wengi wao wanatamani ndoa lakini hawapati.kwahiyo wanatumia njia hiyo kujaribu bahati zao.
 
Mhhh inanipa kufikiria mengi
1. Inawezekana huyo dada anakufahamu vzr na hivyo akaamua kutafuta namna ya kukutokea kwa njia hiyo
2. Inawezekana ni mpenzi wako kakuzunguka na anataka kukupima aone msimamo wako (kama una mpenzi amsha akili)
3. Muongo, tu au tapeli fulani wa mapenzi
4. ...

Zingatia ushauri uliotolewa hapo juu waweza kuwa msaada kwako. Kuwa makini na usikurupuke, utaumia.
 
Back
Top Bottom