Huu wimbo wa Ekoti Te

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,619
8,291
Nimejaribu kutafuta mashairi ya wimbo huu wa Koffi Olomide kwa muda, hatimae nimepata..

Kwa mtakaopenda usomeni na nyie mfurahie.

Koffi Olomide Selfie Paroles Lyrics In Lingala and English Translation

Ekoti te is like saying you missed the shot.

Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto
(Dj Mopao the border of death, take a photo)

Tutu Roba

Veut dire oyo ako bina te aza muana ya nzambe te
(That means the one who will not dance is not the child of God)

Oyo ako bina te, aza mokristu te
(The one who will not dance is not a christian)

Ah Jesus seigneur, seke bien
(Oh Jesus lord, very well)

Ataku

Hamed Bakayoko, l’homme du peuple
(Hamed Bakayoko, the man of people)

Mbila alobi stope, allez temprorize
(The officer says stop, slow down)

Jean Francois Ndenge

Ndenge alobi stope, keba, allez temporize
(Ndenge says stop, careful, slow down)

Mbila alobi stope eh, allez temporize
(The officer says stop, slow down)

Mbila alobi stope eh, allez temporize
(The officer says stop, slow down)

Le boss Paul Obambi
(The boss Paul Obambi)

Zua nga foto
(Take a picture of me)

To seka moke, ha ha ha ha
(Let us laugh a bit, ha ha ha ha )

Buka kingo, ekoti te, ekoti te, ekotite…
(Turn your neck, you didn’t take, you didn’t take, you didn’t take)
 
Sijaipenda tafsiri yake
 
mshana jr ndo maana sijaku-tag.
Hakuna shida kwakuwa post iko tayari kwenye ukuta wa wazi wa JF nafikiri si lazima kualika watu, yeyote anyeona post yoyote ikimvutia kuchangia basi anafanya hivyo! Cha muhimu mchango usiwe na kebehi matusi wala kashfa
 
Poa mkuu. Ingekuwa mambo yako yale ya Majinijini, mashetanishetani, maruhaniruhani hivi ningekualika!

anyway, kwa nini hujaipenda tafsiri?
 
Poa mkuu. Ingekuwa mambo yako yale ya Majinijini, mashetanishetani, maruhaniruhani hivi ningekualika!

anyway, kwa nini hujaipenda tafsiri?
Hahahhaa haya bwana Kirchhoff, sijayapenda huo wimbo kwakuwa una Kama maneno ya dini na ubaguzi fulani hivi lakini uchezaji wake ni wa kidunia
 
Kama umfuatiliaji mzuri wa hzo nyimbo za congo hutoshangaa hii kitu,maana kama kwenye albam kuna nyimbo zaidi ya 10 kunakuwa na zile zenye ujumbe na moja ambayo wao wanapenda kuita "solo"inatamkwa Soloo-kwa kawaida huwa znakuwa ni za kufurahisha sana.kwa wafuatiriaji wa muziki wa dance wala hakuna cha kushangaza hapo kwenye sefie bali ni kawaida
 
Ni kawaida sana kwa wakongo man kuimba na kumtukuza Mungu (Zambe) au Mwana wa Mungu (Bana Ba Zambe) katika miziki yao ya dansi huku kama kawa wanasakata Loketo!
 
Mtoa hoja umesema wimbo ni wa ""ubaguz"" hapo cjakuelewa kbs,,,, na ukasema mambo ya ndani ya wimbo ni ya kidunia sasa hebu Fanya unelezea mambo ya kimbingun ambayo ulitaka koffi olomide ayaoneshe coz kama mambo ya dunia hayatakiw bac unamaanisha hata mungu hayupo dunian coz hapend uovu wakat iman yng inasema mungu yupo mahali popote,,,,,,,, Na je dini ni nn? Nan na afanye nn ili watu wamuone anaiman ya kimungu zaidi?? Usishangae maswal haya kk nmegundua unafalsafa Kali xana nieleweshe kk nam nielewe coz nmeachwa mbali.
 
Nini maana ya hizi lyrics mara asiyecheza siyo mukristo, kidogo Hamed Bakayoko mtu wa watu. Ghafla afande anasema punguza mwendo. Anamalizia ekotite ekotite hujapiga hujapiga hujapiga! Nini hii?
 
Nini maana ya hizi lyrics mara asiyecheza siyo mukristo, kidogo Hamed Bakayoko mtu wa watu. Ghafla afande anasema punguza mwendo. Anamalizia ekotite ekotite hujapiga hujapiga hujapiga! Nini hii?

Mziki siku zote ni ushetani tu.

Otherwise imba kumtukuza Kristo.

Snura anaimba Chura na watu,madaktari,Profesa,mawaziri wanacheza,
 
Back
Top Bottom