huu wimbo unaitwaje?

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
593
176
ni wimbo uliopo kwenye movie ya predator pale jamaa wakiwa kwenye ndege wakielekea amazon kuna jamaa alikuwa akisikiliza kwenye radio ni jive flan hivi please msaada jamani
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,159
50,509
Wadau kuna wimbo kama wa kisouth una melody kama hii kwa kiswahili

"Kulala mezani hio nitalala usinawe" halafu kuna kama piano ya tii tilililiiii kulala mezani hio nitalala usinawe design kama yakina chicco hiv.
 
wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
406
246
njia nzur ya kutafuta nyimbo usizozijua kutoka kwenye movie, ni kuisikiliza kwa umakini na kushika angalau mistar mitatu au miwil, halafu nenda google uanza kuiandika, kutatokea suggestions za hyo nyimbo, utakapo click, web za juu kwenye search results mostly ni za lyrics za nyimbo, utaona hapo title ya nyimbo, ukishapata title sasa anza kuitafuta for downloading
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,159
50,509
ni wimbo uliopo kwenye movie ya predator pale jamaa wakiwa kwenye ndege wakielekea amazon kuna jamaa alikuwa akisikiliza kwenye radio ni jive flan hivi please msaada jamani

Tafuta you tube

Little Richard-Long Tall sally
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,159
50,509
ni wimbo uliopo kwenye movie ya predator pale jamaa wakiwa kwenye ndege wakielekea amazon kuna jamaa alikuwa akisikiliza kwenye radio ni jive flan hivi please msaada jamani

Wimbo Mkali Sana ni Rare kuupata mp3 yake lakini ninayo nikiwa kwa Laptonga ntakuattachia.Oh baby, yes, baby
Ooh baby, havin' me some fun tonight, yeah
Well, long tall Sally, she's built for speed
She got everything that Uncle John needs
Oh baby, yes, baby
Ooh baby, havin' me some fun tonight, yeah
Well, I saw Uncle John with bald head Sally
He saw Aunt Mary comin' and he ducked back in
the alley
Oh baby, yes, baby
Ooh baby, havin' me some fun tonight, yeah
We're gonna have some fun tonight
We're gonna have some fun tonight
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,159
50,509
njia nzur ya kutafuta nyimbo usizozijua kutoka kwenye movie, ni kuisikiliza kwa umakini na kushika angalau mistar mitatu au miwil, halafu nenda google uanza kuiandika, kutatokea suggestions za hyo nyimbo, utakapo click, web za juu kwenye search results mostly ni za lyrics za nyimbo, utaona hapo title ya nyimbo, ukishapata title sasa anza kuitafuta for downloading

Je hizi za ki-africa(sio za kingeleza) tutafutaje? Melody naijua ila lugha ya mule siijiu.
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,770
6,521
Wadau kuna wimbo kama wa kisouth una melody kama hii kwa kiswahili

"Kulala mezani hio nitalala usinawe" halafu kuna kama piano ya tii tilililiiii kulala mezani hio nitalala usinawe design kama yakina chicco hiv.
haya maelekezo ni sawa na yule mtu anaefuatisha kinandda wakati anasikiliza wimbo kwenye earphones..
 
Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,350
1,355
Kwa wanaotumia ios au android os kwenye simu zao kuna apps kama shazam na sound hound ni nzur kwa ajili ya kutrace nyimbo
 
McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,389
7,513
Weka iyo muvi huo wimbo ukiwa unaimbwa just tumia shazam kwny cm yako itakuletea details zote na utai-download.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,159
50,509
Wadau kuna wimbo kama wa kisouth una melody kama hii kwa kiswahili

"Kulala mezani hio nitalala usinawe" halafu kuna kama piano ya tii tilililiiii kulala mezani hio nitalala usinawe design kama yakina chicco hiv.

Update:
Nishaupata kwa Msaada wa TrackID software.
Sipho Mabuse-Jive Soweto
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,936
5,971
Wimbo ushapatikana na nishamtajia unaitwa:: Little Richard-Long Tall sally

Kwenye swala la nyimbo nakukubali sana kwasababu wakati mwingine comments/replies zako huwa zinakuwa ni lyrics za kina Jay Moe na za wasanii wa "majuu".

Huwa ninacheka sana.
 
Dp800

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,562
3,020
kama unatumia android au nokia download program inaitwa shazam kisha i run wakati wimbo umewasha uo wimbo then itakupa details zote.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,159
50,509
Nami naomba jina la wimbo na msanii aliyeimba uliopo kwenye tangazo la Eatv, mwishoni wanasema eeh yee yee

Huo Wimbo Ni wa Robin Thicke amewashirikisha kina T.I na Pharrel Williams unaitwa "Blurred Lines{Good Girl}

±
I feel so lucky
Hey, hey, hey
You wanna hug me
Hey, hey, hey
What rhymes with hug me?
Hey, hey, hey
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,159
50,509
Kwenye swala la nyimbo nakukubali sana kwasababu wakati mwingine comments/replies zako huwa zinakuwa ni lyrics za kina Jay Moe na za wasanii wa "majuu".

Huwa ninacheka sana.

Hahaaaa mara nyingi nyimbo zIna majibu mengi sana thus y nawakumbushia tu majibu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom