KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
huo weusi hapo ni ukurutu, sio rangi yake halisi
huo weusi hapo ni ukurutu, sio rangi yake halisi
Mkuu umesahau kidogo,kule kwenyewe hapawi peusi hata siku moja labda jirani napo!!
Mkuu mbona sijakusoma?
Yani unategemea kope ziwe nyeupe kwa ishara kama iyo kweli?
Kakajambazi usiniangusha bana, chombo chenyewe always ni rangi ya msimbazi, sijawahi kuona au kusikia chenye rangi tofauti!!
Mi naongelea kabla hujakisanua.
Hiyo ni migusano(friction) ya mapaja, hasa ukiwa kibonge. Nashangaa watu wengine wanapenda mhadhara sana kisa fashion.