Huu uwanja ndio ulifanyiwa marekebisho??

Huu uwanja ndio ulifanyiwa marekebisho??

Ile pitch mbona mbovu Sana, kuna ujanjaujanja pale umetokea, uwanja kama shamba la mpunga.
kazi ya ukarabati bado haijaisha,kazi zifuatazo bado:
1.uwekaji wa viti vipya uwanja mzima.
2.ufungaji wa timu kubwa za uwanjani
3.ufungaji wa taa mpya za uwanjani
4.hivi sasa vyumba vyote vinafungwa samani mpya,viyoyozi vipya,vyoo na mfumo wa maji umefumuliwa na kuwekwa upya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom