Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,280
- 33,996
No leadership in Africa, they are all hustlers
Sasa kiwanja gan kikinyeshewa mvua kinakua tope? Na vya wenzetu ndio vipo hivyo? Mvua imenyesha Kwa MDA ganMvua imenyesha kubwa. Tuache kulalamika
Ulaya mvua kubwa na theluji ya kutosha lakini uwanja huwa katika Hali Bora ya kuchezewa Mpira.Mkuu unaelewa maana ya uwanja standard kwa ajili ya hii michuano?
Ulaya mvua hazinyeshi? Hali kama hii ushaiona
Watu wamepiga mpunga hapoBilioni 31 zimekata hapo 😀😀😀
Wameweka hela kwenye mabenki ya nje vitukuu vyao waje wale na zingine ni mtaji wa wa kugombea 2025Ile pitch mbona mbovu Sana, kuna ujanjaujanja pale umetokea, uwanja kama shamba la mpunga.
Tufanyaje Sasa?Sisi tunatoa lawama huku na zinaishia humuhumu
Hv kwa wengine mvua hazinyeshi ? Je kuna kuwa na vidimbwi kama hivyo , vp kuhus njia za uchukuz wa maji zipo ? Maan maji yametuama tuMvua imenyesha kubwa. Tuache kulalamika
Watu washapiga mpunga hapoBABA kati ya siku nilipoumia ni leo yani billion 30 zimetumika kufanya kitu ambacho hakionekani, tena wameufunga uwanja muda mrefu hata drainage system hazipo, hayo marekebisho yalikua ya nini? Nimeamini hii nchi kila mtu anapambania tumbo lake.
Ulaya au nchi za afrika zenye viwanja vizuri hamnaga mvua?Mvua mvua mvua.
Kuna Ile mo Hussein katelezza kwenye tope kidogo waarabu waweke chumaMkuu unaelewa maana ya uwanja standard kwa ajili ya hii michuano?
Ulaya mvua hazinyeshi? Hali kama hii ushaiona wapi ?
Shida kubwa inaanzia tulipoambiwa pitch iko tayari inamaana hapo unapoiona ndiyo ishafanyiwa marekebisho hivyo from ile 30+B
Ndio ulifaa kwa mechi ya leoIle pitch mbona mbovu Sana, kuna ujanjaujanja pale umetokea, uwanja kama shamba la mpunga.