nimetoka juzi pale NIT kuipeleka ist kukagulkwa ili ipite na tbs kwa ajilli ya ukaguzi bwana kama una roho nyepesi unaweza mpga mtu ngumi
,kuna masai amepeleka kapaso kake 4 piston akajiona kanunua chases no katakuwa kazima bwana bwana kwenye kutestiwa kamepigwa speed mpka 160km/hr.dah kigari mpka kikazima chenyewe akaambiwa akiweke pembeni wakati huo masai jicho jekunduuu