chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,221
mkuu acha kuchezea koki utalowaa wewe!
mwambie yule ajuza aache chokochoko kwanza na sio kuniletea mkwara wa sketi juu imebana chini imeachia wakati yule bibi ndo kawasha moto!
mkuu acha kuchezea koki utalowaa wewe!
Kwani jina la ubini wa yesu ni lipi?
haihitaji phd wala degree neno yesu unafkiri wazungu wanaitaje?
Anajuwa wapi wewe jina la kumpachika? Jina alilopewa na mamake na nani na nani alimuita Jesus wakati alipokuwepo?
yule anayevaa kanzu na kibarakashia au mpinga nguruwe wakati anakula!
Kwani jina la ubini wa yesu ni lipi?
Jesus Christ
na mwamedi ye anajijua?
Huu utaratibu wa kuita mtu jina lake la ukoo badala ya jina lake ni wa wapi au asili yake ni wapi?
Mfano Jakaya M Kikwete jina linalotumika au analoitwa ni Kikwete. Julius K Nyerere jina linalotumika ni Nyerere.
Naomba kujua kwa anaejua huu utaratibu asili yake ni wapi na kama Afrika tulikua na utaratibu huu wa kuitana majina ya ukoo.
huu utaratibu uliletwa na nyerere ni muhim sana ukaendeleea ingawa kuna watu sasa ivi wako bize kutumia majina yao ya kikristo au kiislam, nyerere aliweka huu utaratibu ili tuwe wamoja na tusijuane dini zetu ili kupunguza kubaguana na ilikua ni chachu ya kuongeza kujipenda na kujivunia utanzania!!! angalia congo mobutu pamoja na mabaya yake ameweka ilo jambo vizuri kila ukickia jina la mzaire/mkongo unajua huyu ni mzaire na hutajua dini yake!!!
Yesu akishuka leo ukimwita Jesus atajuwa kuwa ni jina lake? maana hilo ndilo alilopachikwa na wazungu. Kihebrania hakuna Jesus.
Majina hubadilika kutokana na mazingira na lugha mkuu;
Kubwa zaidi ni kwamba Yesu anazijua lugha zoote.
Hivyo akiitwa Jesu, Yeshua, Jesus, Kyala, Sebha....... Ataitika tuuu!
Ila je? wafaransa na wamarekani kama mfano huwa wanajua kwamba wamepachikwa majina haya?? Maana ndiyo tuliyowapachika waswahili! Na je huitika???
Hakuna kitu kama hicho aje Mr. Black hapa umwite Bwana Mweusi atakuelewa?
Nani anaekupa haki ya kugeuza jina la mtu?
Nyinyi mmebadilishiwa si jina tu, mpaka rangi, nywele, macho ya Yesu kwenye picha anaoneshwa mzungu na nyinyi mnakubali tu. Hiyo ndio ukisikia brainwashing ya white supremacists. Hata jina mnaaminishwa hilo halimfai lazima liwe westernized Jesus! hap aah mnaona raha kweli. Ujinga tu.
Nijibu swali lako la kwanza kwa njia ya swali.
Waislamu safi wasiojua kiarabu wataiona pepo?
Anaenipa haki ya kubadili jina ni lugha na lahaja in general.
Kule zenji ARSENAL inaitwa ASENALI.
Paragraph ya mwisho najibu hivi;
Wakristo weupe wameigiza, narudia tena wameigiza filamu maarufu za Yesu.
Na ndizo ulizowahi ziona wewe na kudhani kuwa yule ni Yesu.
Endelea kuziangalia mkuu.
Ipo siku utakutana za Yesu mmbongo.
Teh teh teh... Faiza bhaana!!
Wewe, unaongelea sinema? mi nakwambia vitu vya kila siku, hata kwenye biblia wanamwita Jesus, kasome bersion zote za Kiingereza. Ni nani aliwapa haki ya kubadili jina lake?
Picha katazame mpaka makanisani, kama hukuona Jesus ana nywele za kizungu, macho ya kizungu, pua ya kizungu, rangi ya kizungu. Wewe unaongelea sinema? punguani wahed.
Yesu akishuka leo ukimwita Jesus atajuwa kuwa ni jina lake? maana hilo ndilo alilopachikwa na wazungu. Kihebrania hakuna Jesus.
Mwanaume akifariki atapata mabikira 72. Je mwanamke kama wewe umetayarishiwa na allah wako wanaume wangapi?
Version ndiyo nini????
Au na we ndo ushaanza kubadli??
Ama kweli mi punguani mamaa!
Yaani kuishi kwangu kooote huku mjini sijawahi kuuona hata unyayo wa Yesu.
Lakini mwenzangu wewe umeziona nywele, pua,rangi duuuh!!!
Kitu cha mwisho kabla sijapigwa ban;
Jina lako linamaanisha nini vilee?
Eeeheee!!! Hivyo hivyooooo!!!