Huu utaratibu wa majina ni wa wapi?

Huu utaratibu wa majina ni wa wapi?

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,719
Huu utaratibu wa kuita mtu jina lake la ukoo badala ya jina lake ni wa wapi au asili yake ni wapi?

Mfano Jakaya M Kikwete jina linalotumika au analoitwa ni Kikwete. Julius K Nyerere jina linalotumika ni Nyerere.

Naomba kujua kwa anaejua huu utaratibu asili yake ni wapi na kama Afrika tulikua na utaratibu huu wa kuitana majina ya ukoo.
 
inategemea na jina lilivyo zuri au baya wengine jina lake kama dawa za kienyeji la ukoo kidogo afazali.
 
Kimsingi jina lina kazi mbili tu.
1.KUJULIKANA WEWE NDO FULANI.
2.KUITWA UKAITIKIA,
Kwahiyo jina halitakua na maana yeyote endapo Hujulikani na ukijulikana ukiitwa huitikii.
 
Huu utaratibu wa kuita mtu jina lake la ukoo badala ya jina lake ni wa wapi au asili yake ni wapi?

Mfano Jakaya M Kikwete jina linalotumika au analoitwa ni Kikwete. Julius K Nyerere jina linalotumika ni Nyerere.

Naomba kujua kwa anaejua huu utaratibu asili yake ni wapi na kama Afrika tulikua na utaratibu huu wa kuitana majina ya ukoo.

my full name iz chaUkucha Dawa, watu wengi wananiita jina la kwanza then la ukoo wanalipotezea so it depends.
 
huu utaratibu uliletwa na nyerere ni muhim sana ukaendeleea ingawa kuna watu sasa ivi wako bize kutumia majina yao ya kikristo au kiislam, nyerere aliweka huu utaratibu ili tuwe wamoja na tusijuane dini zetu ili kupunguza kubaguana na ilikua ni chachu ya kuongeza kujipenda na kujivunia utanzania!!! angalia congo mobutu pamoja na mabaya yake ameweka ilo jambo vizuri kila ukickia jina la mzaire/mkongo unajua huyu ni mzaire na hutajua dini yake!!!
 
Yesu akishuka leo ukimwita Jesus atajuwa kuwa ni jina lake? maana hilo ndilo alilopachikwa na wazungu. Kihebrania hakuna Jesus.
 
uongo,,why ukiomba maombi ukisema jesus au yesu anajidhihirisha it means hata yeye anajua kua tunamtambua kwa jina hilo
 
Anajuwa wapi wewe jina la kumpachika? Jina alilopewa na mamake na nani na nani alimuita Jesus wakati alipokuwepo?
 
Yesu akishuka leo ukimwita Jesus atajuwa kuwa ni jina lake? maana hilo ndilo alilopachikwa na wazungu. Kihebrania hakuna Jesus.

unataka kuharibu mada we m.a.laya na udini wako kwan huwez kujadili bila kugusa iman za watu?
 
Tumeiga wazungu. Na jina la pili la mke anaitwa la mume wake (Salma Kikwete) na hii pia tumeiga wazungu
 
Kweli, maana hata ukiangalia majina ya wachezaji mpira ulimwenguni ambayo tunayoyafahamu sisi ni ya ukoo hebu tuangalie waAfrika wenzetu kama DROGBA, KALOU, FADIGA, DIOUF, TOURE, WANYAMA, BWALYA, YOBO na listi bado ndefu inaendelea
 
huu utaratibu uliletwa na nyerere ni muhim sana ukaendeleea ingawa kuna watu sasa ivi wako bize kutumia majina yao ya kikristo au kiislam, nyerere aliweka huu utaratibu ili tuwe wamoja na tusijuane dini zetu ili kupunguza kubaguana na ilikua ni chachu ya kuongeza kujipenda na kujivunia utanzania!!! angalia congo mobutu pamoja na mabaya yake ameweka ilo jambo vizuri kila ukickia jina la mzaire/mkongo unajua huyu ni mzaire na hutajua dini yake!!!

Aaaaacha kutudanganya!
Zinedine Zidane Zizou!
Roberto Carlos!
Gabriel Batistuta!
Ivan Zamorano!
Fernando Torres!
Lukas Mulla!
Mario Baloteli
Etc etc!
Na hao walifata sera ya Nyerere ili kuzuia udini?
 
Back
Top Bottom