Huu uswahiba na IKULU...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
JK akutana wasanii nyota wa bongo fleva Dodoma



JK akisalimiana na Ruge Mutahaba ambaye ni kiongozi wa Nyumba ya Vipaji (THT) ambaye yuko Dodoma na wasanii nyota kibao ambao watatumbuiza wikiendi hii kwenye Fiesta 2010. Jana JK aliwaalika Ikulu Ndogo ya Chamwino na kupata nao dina la mchana

JK akisalimiana na Chegge
JK akisalimiana na Fid Q JK na Cpwaa JK na Mh. Temba
JK akipeana mikono na Dully Sykes​

JK na Mwanafalsafa

JK na Barnaba wa THT
JK na wasanii
JK akisalimiana na Fellah, kiongozi wa Wanaume TMK
JK na mwamba wa Kaskazini Joe Makini
JK na KR wa TMK Wanaume
JK akisalimiana na Marlaw
JK akisalimiana na msanii wa THT
Mama Salma Kikwete akimsalimu Marlaw
Mama Salma Kikwete akisalimia wasanii
Ni wakati wa maakuli​






 
Inapendeza kuwapa moyo, sasa kuibiwa kazi zao waibiwe na watu kama RUGE ndio maana Mr II kaamua kumpaka RUGE!
 
TAKUKURU wako wapi kuchunguza mwaliko huu, kwani baadhi ya wasanii wana T-shirts za kampeni. Je, kampeni zimeanza? Kule wabunge wanatoa vyerehani kwenye majimbo yao na kufuatiliwa na TAKUKURU, sasa huku JK anatoa misosi kwa wasanii, je sio sahihi kwa TAKUKURU kumshughulia huyu bwana?!!
 
TAKUKURU wako wapi kuchunguza mwaliko huu, kwani baadhi ya wasanii wana T-shirts za kampeni. Je, kampeni zimeanza? Kule wabunge wanatoa vyerehani kwenye majimbo yao na kufuatiliwa na TAKUKURU, sasa huku JK anatoa misosi kwa wasanii, je sio sahihi kwa TAKUKURU kumshughulia huyu bwana?!!

TAKUKURU iko wapi? Mbona mimi sioni kazi zake?
 

JK na Mh. Temba


Heshima kwa Toto la kichaga, utadhani mnyawezi flani hivi..... siyo hao wengine walio vaa Tshirt za mabango ya Jk.
 
Picha ya nne kwa nyuma pale anaonekana malaria sugu akiwa katika pozi
 
Hakuna cha Kushangaa....Hii nchi ndo maana inaitwa Bongo lazima utumie Bongo ili uweze kuishi Bongo....Ni nchi ya wasanii kwenye kila sekta full sanaa.....hata kama we ni daktari, mhandisi, mwanasheria, mwalimu, mjasiriamali nk ili utoke lazima uchanganye fani yako na usanii ndo mambo yatakua sawa....Labda Marehemu Mwalimu nae alikua anawafanyia hivyo wanamuziki bila kumsahau Mwinyi na BWM
 
kampe tupuu hapo, takukuru ni kwa wabunge tu, hata madiwani siwasikiiiiiiiiii, kuna vikundi vya muziki zaid ya 30 kwaajili uchaguzi huu hapo CCM
 
Wengi hawa ni ugly guys have ever met.Wanatakiwa wanyoe nywele zao hizo,ni rasta chafu!
 
Wengi hawa ni ugly guys have ever met.Wanatakiwa wanyoe nywele zao hizo,ni rasta chafu!
Tatizo wanakariri kuwa ili uwe msanii mzuri lazima uwe na mi-rasta na kubugia unga. binafsi sioni wanachofundisha katika jamii yetu hii.Kuanzia mwonekano na hata jumbe za miziki yao (baadhi yao)
 
TAKUKURU iko wapi? Mbona mimi sioni kazi zake?

Nilikwishalalama huko nyuma kuwa maadam Takukuru iko chini ya executive branch of government, uchunguzi wowote wa rushwa utakaowahusu watu wa Ikulu na maswahiba wao utaishia kwenye geti la ikulu; hauwezi kuruhusiwa kuingia ndani!!
 
Back
Top Bottom