Huu uswahiba na IKULU...

TAKUKURU wako wapi kuchunguza mwaliko huu, kwani baadhi ya wasanii wana T-shirts za kampeni. Je, kampeni zimeanza? Kule wabunge wanatoa vyerehani kwenye majimbo yao na kufuatiliwa na TAKUKURU, sasa huku JK anatoa misosi kwa wasanii, je sio sahihi kwa TAKUKURU kumshughulia huyu bwana?!!


walikuwa kwenye kampeni ya ndani ya kumpitisha mh. kikwete
 
kula na JK haimaanishi kumpigia kura....wanaweza wakamtosa wote hao coz kura ni siri ya mtu...JK oyeeee.
 
kula na JK haimaanishi kumpigia kura....wanaweza wakamtosa wote hao coz kura ni siri ya mtu...JK oyeeee.
...Usishangae katika hao wasanii hakuna hata mmoja aliyejiandikisha kwenye daftari ya wapiga kura....sasa sijui kama ndio kumtosa kwenyewe JK!!:pound::pound:
 
Back
Top Bottom