Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
HUYO KUKU AKIFA JE?Kwamba hiyo hirizi ikifungwa kwenye kifundo cha mguu wa kuku utafanikiwa kimaisha huku ikikukinga na wabaya
HUYO KUKU AKIFA JE?Kwamba hiyo hirizi ikifungwa kwenye kifundo cha mguu wa kuku utafanikiwa kimaisha huku ikikukinga na wabaya
Ipo updated version![]()
Haya mambo magumu sana.Kulikoni Kiongozi?
Jando na Unyago?
Shukran Kiongozi.Haya mambo magumu sana.
Walimzmdhulumu mtu mazao yake baada ya kumkodishia shamba,wakaja kumruka kuwa hawakumkodishia.
Jamaa naona kawazidi maarifa upande mwingine,hapo wanahenyeka hawajui chochote.