Huu upweke huu

Unasemaaaaa!!!!!!!!!
Kuna mmoja ameniambia eti ka smart foni kake kamedondokea kwenye mchuzi wa li pilau la Maulid
Ngoja nikague nikimuona atanitambua!!!!!

Kakublock kwa muda mkuu...
 
wenzio twajipoozesha na amarula, st anne, viroba etc we watukumbusha kazi, BABA akirudi likizo atatangaza mapumziko hadi ijumaaa
 
wenzio twajipoozesha na amarula, st anne, viroba etc we watukumbusha kazi, BABA akirudi likizo atatangaza mapumziko hadi ijumaaa

Hongereni zenu ......!!!!!!!!
 
Kwa nini ufisanye utaratibu wa kupata japo toti-double ya Grant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…