itamuondolea upweke???Pole baba paroko.
I can feel you,Pole kwako na kwangu!![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani basi tu ...........!!!!!!!
Leo kazi haziendi kabisa........
Sijui nikalale????
Damn ...........!!!!!!
unachapa mguu toka k/koo hadi kibamba na kurudi na hupati hata wa kukuuliza beiNa nyakati hizi hali ngumu kweli hasa kwa sisi machinga yaani stress kibaoo .....!!!!!!!!!!!
navyomjua huyu, anapenda sana kusindikizwaembu jitoepo hata ka outing!