Huu ungo ni wa kazi gani?

Huu ungo ni wa kazi gani?

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Hbr,
leo nimepita sehemu nikaona huu ungo,je ni wa kazi gani? Channel au internet? Maana kwa pemben naona wanatazama AXN..je ni FTA?
 

Attachments

  • Gamba's film0976.jpg
    Gamba's film0976.jpg
    440.3 KB · Views: 168
Huo ungo huwa nauona mara nyingi kwenye mabenk.ila ngoja tusubiri waje wataalamu zaidi.
 
huu ni wa internet, mara nyingi upo sehemu zenye atm, shule, vyuoni etc
 
Duh watu bana hawakosi mambo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hiii inaitwa VSAT , mainly for data, ikiwemo internet . search wikipedia for VSAT
 
ngoja mfuko ukae vizuri nijifungie geto kwangu hiki kiji-VSAT dish, nianze kupiga hacking kama wale jamaa wa kwenye movie ya Die Hard :-*
 
Back
Top Bottom