Huu unafiki wa Lowassa unatisha

Wenzio tuliisha amka zamani tukatoka huko tulipo baini ni pango la wezi umebaki wewe tu.
 

tumia tu akili kidogo na wewe ujiulize kama asingehama ccm mngemuita fisadi? au kama angeshinda ccm dodoma angeongea maneno haya.

kwa nini nyingi mnamuattack kwa kumuita fisadi wakati ccm mlinufaika na richmondi?

hivi wewe unajua ule mchezo wa ngumi? na mkicheza na lowasa ana mafaili yenu mengi kweli. ila ninyi mmekalili eti ni fisadi, yeye akiamua kurusha ngumi zinaweza kufika 100000000 kwa sababu anawajua in and out wizi mliofanya tangia 1961

HIVI KWELI DR SLAA SASA HIVI AMEKUWA LULU KWENU? YULE MLIYEMUITA PADRI MZINIFU? AU MWINGINE?
 
uchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma

Mngeanza na JK kwanza, maana kipindi chake tembo wameuawa sana, uwizi ulizidi sana kwasababu ya uswahiba kwenye kazi za umma. Na hii ya tembo kuisha ni kwasababu ya urafiki na wachina na akina Kinana kiasi cha balozi wa China akavaa sare za ccm. Sasa Lowasa ndiyo atafichua hiyo mikataba ya siri na wachina na ujenzi wa bandari Bagamoyo. Msitutushe na kauli zenu eti mtu anakimbilia Ikulu kwani Magufuli anakimbilia wapi? JK yupo wapi sasa na maisha bora kwa kila Mtanzania? Muwadanganye wengine tu na sijui mtakuja na sera ipi ambayo hamjaisema miaka 54 ya uhuru.
 

Wanafikiri watu tumesahau na ngojera zao hapa mara Dr. Slaa mzinzi hawezi kwenda Ikulu, mara kaiba hela kanisa, mara kajikopesha ruzuku, mara afafhali ya Lipumba kuliko Slaa, sasa kaingia Lowasa wageuka watetezi wa Slaa. Mungu amesikia maombi yao ya kusema Ikulu hawezi kwenda mzinzi, wakae watulie kabisa sisi tunataka mabadiliko, yawe ya fisadi, yawe mroho wa madaraka, vyovyote vile mtakavyomwita Lowasa tumeamua ndiye Rais. ccm tumeichokaaaaaaaaaaa Suala la maendeleo baadae
 
Jiulize kwanini viongozi wa ccm waliamua kufanyanga katiba yao ili kumkata?walijua maslahi yao ya kifisadi yatapotea,
 
Wakati Lowassa na JK wanachukua jahazi kwa Mkapa sukari bei ya sukari ilikuwa Shs 650.
Je miaka miwili baadaye wakati anajiuzulu uwaziri mkuu, sukari ilikuwa inauzwa kiasi gani? Aliacha ileile 650 ya Mkapa na Sumaye?
hoja dhaifu kweli !
 

Angepita dodoma angekifumua chama na kuharibu system nzima na kukiunda upya na hilo ndilo waliloliogopa ccm
 

Tulia wewe...CCM sio baba yake, na wala sio MAMA yake. kajipange upya au nenda ukapost facebook.
 

walivyo muita makapi aukuona,walivyo muita oil chafu aukusikia,unajua maana ya upinzani ?lowassa amegundua makosa...angepitihswa dodoma sisi watanzania tunge mwambia..
 

sasa unataka mabadiriko gani?

Huku kufuata mkumbo sio kuzuri kabisa ''yaani unataka mabadiriko halafu maendeleo baadae''.
 
Tukisema huyu mtu ana tamaa na madaraka tu na wala hana ahadi za wananchi,watu watanuna,lakini huyu mzee ile ngozi ya kondoo aliyo vaa miaka yote,imechakaa tunaona madoa doa ya chui sasa

Ni nani asiye na tamaa ya madaraka? mimi mwenyewe nina uchu sana wa kuwa Rais wa Tanzania!


Ingekuwa watu hawana tamaa ya urais, CCM wangejitokeza wagombea 42 kwa na nafasi moja?


Je. JOB ndugai kama c tamaa ya madaraka angempiga mgombea mwenziye?


Je kama si tamaa ya madaraka CCM wangechapisha karatasi za wizi za kupigia kura ya maoni ndani ya chama chao nchini kenya?
 
Come on, mbona ndio kinachofanyika kwenye siasa. What did you expect? Aanze kusifia chama chake cha zamani? That's just politics ndugu, don't take it too personal.
 
Tulia dawa iwaingie vizuri, ukifurukuta ndiyo intawaumiza zaidi
 

Kulipiza kisasi tu!
Ana ile team,, Wale ni nzige,, watalamba kila kitu nchini tubaki Tanzania kiituko cha vituko,
Hakuna mwadilifu kwenye ile team. Ikiwa El mwenyewe wanampiga itakuwaje wakishika nchi?
 
Kulipiza kisasi tu!
Ana ile team,, Wale ni nzige,, watalamba kila kitu nchini tubaki Tanzania kiituko cha vituko,
Hakuna mwadilifu kwenye ile team. Ikiwa El mwenyewe wanampiga itakuwaje wakishika nchi?
Huyo anayeondoka anatuachia nini? Think before touching your keyboard.
 
walivyo muita makapi aukuona,walivyo muita oil chafu aukusikia,unajua maana ya upinzani ?lowassa amegundua makosa...angepitihswa dodoma sisi watanzania tunge mwambia..

huogopi kumuita Lowasa mpinzani. !? Lowasa kapoteza muelekeo wa kisiasa na hata hajui anachokitaka sasa ni nini.
 
Rais wetu mpendwa Lowassa chanja mbuga kuelekea Ikulu

Richmond ilikuwa ya Kikwete watanzania tunajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…