uchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.

Hatutishiki na mabodaboda na wazee wa vijiweni kujaza barabara eti wanamsindikiza fisadi kuchukua fomu,nchi hii haiwezi kutawaliwa na mwizi kiurahisi hivyo,hapati kitu hlf tuone ataendelea kubakua chadema au alikwenda kwa tamaa za madaraka ili akatuibie watanzania
Tuliza mshono
mwaka wa miujiza....ni mwaka 2015.
CCM mlizoea kudanganya...kwa miaka 54..sasa mwisho umefika....
vipofu wanaona.....
viziwi wanasikia....
viwete wanatembea....
wajinga na wapumbavu wooote wamekuwa werevu..kila mtu atapiga kura...
mwaka huu hata washirikina wataandamana kupiga kura za haki.
Hakika...Tanzania inazaliwa upya...asie amini asubiri october 25.
MUNGU IBARIKI TANZANIA...
MUNGU MBARIKI LOWASSA.....
Una maanisha nini mkuu.Walipigania uhuru na haki ya nchi au Chama?Na lowasa anafanya nini now?Au ndo zile zile akili za maccm za kuwaona wasio humo kichakani si watanzania.Yaani mmetuibia sana na kukaa kwetu kimya mmeshatuona wajinga siyo? SASA kwa taarifa yako MAJANI YAMESHAKAUKA alikuwa anasubiriwa mtu wa kuwasha moto tu.Kama hamuamini try
Terejesheeni SLAA wetu. Tunampenda bado na tunamuheshimu.
yani ningekuwa mod ningewakata hawa jamaauchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma