Huu ulinzi balaa!!!

Huu ulinzi balaa!!!

Ungeweka hata kapicha au video tuone mkuu
 
Kibiti wamenyanyua mikono, imebaki mikwara ya mjini tu.

Kama unadhani Kibiti kumeshindikana tafuta bastola ya plastic ukazunguke nayo mitaa hiyo uone kama utarudi salama ndio utajua watu wapo kazini.
 
2a51da03c28286923e96b289d974890d.jpg
hadi hao waliovaa mabaka mabaka walikuwepo pia na silaha zilishikwa hivyo hivyo asubuhi ya leo
Duuuh
 
Back
Top Bottom