Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,639
Sawa
:Amewasomesha vemA na wanajielea"Asillimia kubwa ya wababa wanaoteseka uzeeni huku wanao watoto walio. Wasomesha vema na wanajitegemea au wanayamudu maisha vema alikuwa hivi ujanani-;
1.ALIMTESA NA KUMNYANYASA MKE NA WATOTO AU MKE TU.na watoto wakajua ho waziwazi
2.HAKUITHAMINI FAMILIA
3.ALIKUWA MTU WA TOTOZ
4.MLEVI N.K
5.ALIJALI JAMAA NA MARAFIKI KULIKO FAMILIA.
6.MBINAFSI
Mleta mada samahani iyo mboga au chakula gani unayoikojolea hpo kwenye avatar yakoItakuwa walicopy kwangu
Asante hii inategemea umeishi vipi na Familia haiwezekani watoto uwalee vizuri wasikujali uzee, tukija upande wa mama pia haiwezekani awalishe watoto sumu wasikujali lazima kuwe na sababu tu na kama vitu vyote ulifanya basi ina bidi uangalie historia yako kama hukuwajali Wazazi wako lazima history ikuludie kwa wanao.Mkuu Hawachi karibu hapa
Kumbuka pia unaweza ukafa kwa utapiamlo wakati unamabilioni pembeni ya kitanda chako. Pesa yako haitatoka ndani kwenda kukununulia chakula wala haitakuogesha uzeeni, hivyo ni wajibu wa watoto wako kukulea endapo watakuwa wastaarabu. Wastaarabu kwa vipi! Pamoja na pesa yako kuwepo wanaweza kuitumia kwa mambo yao binafsi na wewe kukutelekeza bila chakula na usafi.
Asante hii inategemea umeishi vipi na Familia haiwezekani watoto uwalee vizuri wasikujali uzee, tukija upande wa mama pia haiwezekani awalishe watoto sumu wasikujali lazima kuwe na sababu tu na kama vitu vyote ulifanya basi ina bidi uangalie historia yako kama hukuwajali Wazazi wako lazima history ikuludie kwa wanao.
:Amewasomesha vemA na wanajielea"
Alafu alikua mlevi,mbinafs na hajali familia?
Naamini kabisa nitapata watu wa kuyazoa ukiona mtu uzeeni hana mtu wa kujali basi aliutumia ujana vibaya kuwasomesha watoto si kigezo waje kukujali je uliwaonesha mapenzi kama baba bora, Sio bora babaJidanganye utakuja kujinyea.
Asillimia kubwa ya wababa wanaoteseka uzeeni huku wanao watoto walio. Wasomesha vema na wanajitegemea au wanayamudu maisha vema alikuwa hivi ujanani-;
1.ALIMTESA NA KUMNYANYASA MKE NA WATOTO AU MKE TU.na watoto wakajua ho waziwazi
2.HAKUITHAMINI FAMILIA
3.ALIKUWA MTU WA TOTOZ
4.MLEVI N.K
5.ALIJALI JAMAA NA MARAFIKI KULIKO FAMILIA.
6.MBINAFSI
Naamini kabisa nitapata watu wa kuyazoa ukiona mtu uzeeni hana mtu wa kujali basi aliutumia ujana vibaya kuwasomesha watoto si kigezo waje kukujali je uliwaonesha mapenzi kama baba bora, Sio bora baba