Huu Ujenzi ni Vipi??

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Hapa nani mwenye kosa Tanesco au Mwenye nyumba??

561389_385382541521538_859202424_n.jpg
 
Hapo nadhani mwenye kosa ni aliyeanza kuweka structure yake.Na mkosefu mkuu katika wote ni Afisa mipango miji wa eneo husika japo yeye hukumuorodhesha katika uliotaka kujua yupi ni mkosefu..
 
Yaani hapo ni Sijui kakutana na Sijui wewe unategemea nini ?
 
Mwenye nyumba anamakosa, ni lazima kupisha miundombinu sio miundombinu ikupishe wewe
 
Hiyo itabidi tanesco waipige shoti ndio jamaa na kiburi chake atatafuta chaka la kujificha
Nalog off
 
Back
Top Bottom