Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 713
- 1,181
Sawa inaitwa scabbomaHizo ni scabbies wala siyo fangus. Nenda pharmacy nunua sawa inaitwa Scaboma beinyake ni kuanzia 8,000 mpaka 15,000. Tumia wiki mbili. Usipopata nafuu nicheki nikuelekeze kwa mtaalam namba moja wa magonjwa ya ngozi.
Fata maelekezo ya pharmacist. Ukipata nafuu usiache kuleta mrejesho.
Ushauri muruaHizo ni scabbies wala siyo fangus. Nenda pharmacy nunua sawa inaitwa Scaboma beinyake ni kuanzia 8,000 mpaka 15,000. Tumia wiki mbili. Usipopata nafuu nicheki nikuelekeze kwa mtaalam namba moja wa magonjwa ya ngozi.
Fata maelekezo ya pharmacist. Ukipata nafuu usiache kuleta mrejesho.
This is not fungus. Hii ni a topic dermatitis with acne.Wakuu kuna ndugu yangu anasumbuliwa na vipele vidogo vinamuwasha sana vipo kichwani kwenye nywele akikuna unatoka unga mweupe, vipo kifuani mgongoni makwapani.
Alienda hospital mara 3 akaambiwa fungasi ya damu lakini akitumia dawa inatulia then inarudi upya
MsaadaView attachment 1524731
Siyo scabies hii. Scabies inakaa kwenye mikunjo mainly. Mfano kwenye vidole. Kwapani, miguuni nyuma ya goti nyuma ya sikio nkHizo ni scabbies wala siyo fangus. Nenda pharmacy nunua sawa inaitwa Scaboma beinyake ni kuanzia 8,000 mpaka 15,000. Tumia wiki mbili. Usipopata nafuu nicheki nikuelekeze kwa mtaalam namba moja wa magonjwa ya ngozi.
Fata maelekezo ya pharmacist. Ukipata nafuu usiache kuleta mrejesho.
ndugu yako au wwWakuu kuna ndugu yangu anasumbuliwa na vipele vidogo vinamuwasha sana vipo kichwani kwenye nywele akikuna unatoka unga mweupe, vipo kifuani mgongoni makwapani.
Alienda hospital mara 3 akaambiwa fungasi ya damu lakini akitumia dawa inatulia then inarudi upya
MsaadaView attachment 1524731
ndugu yako au ww
HIV kapima mara 3 hana...kama utataka na majibu niambie nikupigie picha nikuwekee.Akapime HIV..!
Unashauri atumie dawa gani..kwasababu akienda hospital anagewa ambazo hazifiki miez 6Matibabu ya fungus ni ya muda mrefu, anaweza awe kwenye tiba kwa miezi sita. Pamoja na hizo za kunywa angepata na dawa za kupaka na nywele aondoe zote.
Asishirikiane taulo na mtu mwingine, nguo zake afue na sabuni na aanike juani pia apige pasi.
Ajikaushe vizuri baada ya kuoga.
nilishawahi kupata scabies nilihangaika miezi ya kutosha kuja kukutana na scaboma haikuchukua hata wiki kila kijidudu kimeshasepa na mapere yakaisha.Siyo scabies hii. Scabies inakaa kwenye mikunjo mainly. Mfano kwenye vidole. Kwapani, miguuni nyuma ya goti nyuma ya sikio nk
Hivo vipele vimemuanzia iringa ambapo sidhani kama kuna joto...sasaivi yupo dar ndo hali mbaya mwili mzima unamuwasha
Shukranhakikisha kila siku asubuhi unakunywa kijiko kimoja cha unga wa majani ya mlonge changanya na maji kabla hijala chohcote.
usile nyama kwa wingi, masoda, chai, bia etc
kula sana matunda mbogamboga, vitu visivyokobolewa njoo unitafute baada ya mwezi mmoja unipe buku teni ya pongezi.
utaangahika bure usipojali ninachokuambia mkuu
Kabla hazijaishs mfahamishe daktari akuongezee, muonyeshe maendeleo.Unashauri atumie dawa gani..kwasababu akienda hospital anagewa ambazo hazifiki miez 6