Huu uchaguzi wa Kinondoni mbona UKAWA imepooza sana mitaani, kulikoni?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,335
5,184
Nimejaribu kuizunguka Kinondoni nikiwa katika shughuli zangu binafsi huku nikijua fika pia kuwa kuna uchaguzi wa ubunge, lakini cha ajabu tofauti na uchaguzi uliopita nakutana na mabendera mengi ya CCM za CHADEMA na CUF zinakuwa za kuhesabu.

Najua watu ndo wanapiga kura na si bendera, lakini kiuhalisia naona kuna mdororo fukani haswa kwenye kambi ya upinzani, au hela hazipo za kuwapa vijana kuhamasisha au kwasababu ya mwingiliano wa CUF na CHADEMA umeleta mgawanyiko kwa vijana wahamasishaji, hata boda boda hawana ile hamasa tuliyoizoea tatizo ni nini?
 
Nimejaribu kuizunguka Kinondoni nikiwa katika shughuli zangu binafsi huku nikijua fika pia kuwa kuna Uchaguzi wa ubunge, lakini cha ajabu tofauti na uchaguzi uliopita nakutana na mabendera mengi ya ccm, za chadema na cuf zinakuwa za kuhesabu, najua watu ndo wanapiga kura na si bendera, lkn kiuhalisia naona kuna mdororo fukani haswa kwenye kambi ya upinzani, au hela hazipo za kuwapa vijana kuhamasisha au kwa sbbu ya mwingiliano wa cuf na chadema umeleta mgawanyiko kwa vijana wahamasishaji, hata boda boda hawana ile hamasa tuliyoizoea...ttzo ni nini?

Wako Kenya wanashangilia kuapishwa kwa Raila Odinga!
 
basi shangilia Mtulia ametangazwa leo
 
Nimejaribu kuizunguka Kinondoni nikiwa katika shughuli zangu binafsi huku nikijua fika pia kuwa kuna uchaguzi wa ubunge, lakini cha ajabu tofauti na uchaguzi uliopita nakutana na mabendera mengi ya CCM za CHADEMA na CUF zinakuwa za kuhesabu.

Najua watu ndo wanapiga kura na si bendera, lakini kiuhalisia naona kuna mdororo fukani haswa kwenye kambi ya upinzani, au hela hazipo za kuwapa vijana kuhamasisha au kwasababu ya mwingiliano wa CUF na CHADEMA umeleta mgawanyiko kwa vijana wahamasishaji, hata boda boda hawana ile hamasa tuliyoizoea tatizo ni nini?
Haya .. kaa pembeni subiri mgao wako buk7
mpishe zombie mwenzio nyingine aje
 
Nimejaribu kuizunguka Kinondoni nikiwa katika shughuli zangu binafsi huku nikijua fika pia kuwa kuna uchaguzi wa ubunge, lakini cha ajabu tofauti na uchaguzi uliopita nakutana na mabendera mengi ya CCM za CHADEMA na CUF zinakuwa za kuhesabu.

Najua watu ndo wanapiga kura na si bendera, lakini kiuhalisia naona kuna mdororo fukani haswa kwenye kambi ya upinzani, au hela hazipo za kuwapa vijana kuhamasisha au kwasababu ya mwingiliano wa CUF na CHADEMA umeleta mgawanyiko kwa vijana wahamasishaji, hata boda boda hawana ile hamasa tuliyoizoea tatizo ni nini?
Kwani wanashiriki?
 
Kwene uzinduzi wa ccm bodaboda walijaziwa mafuta full tank na wananchi wa kawaida 20k, ukawa hawakufanya hvo
 
WENZAKO WAKO KAZINI WANATAFUTA MKATE WA KILA SIKU, WEWE UNATAFUTA BENDERA ZA VYAMA
Soma habari vzri nilichokiandika..nimesema nimepita kuelekea kwenye shughuli zangu, na wala haiitaji kwenda ndani, kama unafanya kazi mjini, pita kuanzia hapo morocco uje hadi magomeni utaliona somo bila kuingia ndani..
 
Naona muda bado,Karibia karibia na uchaguzi kama siku mbili ndo utaona
 
Soma habari vzri nilichokiandika..nimesema nimepita kuelekea kwenye shughuli zangu, na wala haiitaji kwenda ndani, kama unafanya kazi mjini, pita kuanzia hapo morocco uje hadi magomeni utaliona somo bila kuingia ndani..
Anaeenda shughulini hana haja na bendera wala kuanzisha threads za unafki.
Hayo unayoyasema yanahitaji raslimali fedha & muda. CCM inafaidika na raslimali za serikali, Je umewahi kujiuliza ukawa wanatumia raslimali kutoka wapi ??!!
 
Back
Top Bottom