Uchaguzi Kinondoni: Namba hazidanganyi

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,473
2,000
Katika Uchaguzi wa Ubunge mwaka 2015, Maulid Mtulia akiwa CUF yenye UKAWA alipata kura 70,300 wakati Idd Azzan wa CCM alipata kura 66,000.

Hizi ni kura ambazo zilijumuisha Vyama vinne ndani ya UKAWA.

Leo hii UKAWA ni historia kwa sababu hata salamu za NCCR-Mageuzi hazisemwi achilia mbali uwepo wa bendera ya NCCR-Mageuzi katika mikutano ya CHADEMA.

Sina shaka kura za CCM ziko palepale kutokana na historia ya CCM inayobainisha chama kushikamana pale kimapoingia kwenye mapambano/chaguzi.

Anayedhani kuwa kuna wanaCCM wengi watampigia kura mgombea wa CHADEMA lazima atakuwa hajui historia ya CCM.

Ninajua Mtulia ameenda CCM na kundi lake kwa kiwango kikubwa kutoka CUF huku CHADEMA wakibaki kuvutana na kundi lililompigia kura Mtulia wakati akiwa UKAWA.

Sio uwongo kuwa Kinondoni ilikuwa ngome ya CUF.

Historia inaonyesha kuwa mwanaCUF kindaki ndaki hawezi kuipigia CHADEMA kura infact, ni bora aipigie CCM kuliko CHADEMA.

Mbaya zaidi, Kinondoni ina wazee wengi kuliko vijana. Utafiti unaonyesha hili ni kundi ambalo linapiga kura mara nyingi kwa CCM au CUF.

Kutokana na uwepo wa wazee wengi Kinondoni ndio maana kampeni za CCM zitafungwa na Mzee Makamba.

Kwa mantiki hii, sioni CHADEMA wakishinda katika jimbo la Kinondoni.
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,416
2,000
Namba zako feki wewe

Uchaguzi hutegemea factors nyingi sana

Mbona hujasema pombe alishindaje uchaguzi dhidi ya Luwasaaaa?

Alipitaje ccm dhidi ya wakongwe?

1. Umaarufu wa mtu

2. Matatizo ya kijamii, kiuchumi nk

3. Fadhaha/kero ya mtu kwa watu

4. Matukio ya nyakati nk

Nibaadhi ya mambo yanayoweza badili mwelekeo wa namba zako vibaya kabisa.
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,473
2,000

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
5,071
2,000
Historia inaonyesha blah blah blah. Ipi hiyo?

Kweli kuandika vizuri hakumaanishi mtu atazungumzia jambo la maana. Tunawadharau tu wasio na miandiko mizuri humu lakini OP ni kama mwanafunzi mwenye mwandiko mzuri ila pumba tupu kichwani.
 
wizzy more

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
432
250
Katika Uchaguzi wa Ubunge mwaka 2015, Maulid Mtulia akiwa CUF yenye UKAWA alipata kura 70,300 wakati Idd Azzan wa CCM alipata kura 66,000.

Hizi ni kura ambazo zilijumuisha Vyama vinne ndani ya UKAWA.

Leo hii UKAWA ni historia kwa sababu hata salamu za NCCR-Mageuzi hazisemwi achilia mbali uwepo wa bendera ya NCCR-Mageuzi katika mikutano ya CHADEMA.

Sina shaka kura za CCM ziko palepale kutokana na historia ya CCM inayobainisha chama kushikamana pale kimapoingia kwenye mapambano/chaguzi.

Anayedhani kuwa kuna wanaCCM wengi watampigia kura mgombea wa CHADEMA lazima atakuwa hajui historia ya CCM.

Ninajua Mtulia ameenda CCM na kundi lake kwa kiwango kikubwa kutoka CUF huku CHADEMA wakibaki kuvutana na kundi lililompigia kura Mtulia wakati akiwa UKAWA.

Sio uwongo kuwa Kinondoni ilikuwa ngome ya CUF.

Historia inaonyesha kuwa mwanaCUF kindaki ndaki hawezi kuipigia CHADEMA kura infact, ni bora aipigie CCM kuliko CHADEMA.

Mbaya zaidi, Kinondoni ina wazee wengi kuliko vijana. Utafiti unaonyesha hili ni kundi ambalo linapiga kura mara nyingi kwa CCM au CUF.

Kutokana na uwepo wa wazee wengi Kinondoni ndio maana kampeni za CCM zitafungwa na Mzee Makamba.

Kwa mantiki hii, sioni CHADEMA wakishinda katika jimbo la Kinondoni.
Unarukaruka ukshatuwa utatuambua
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
18,950
2,000
Hizo 66000 zilikuwa halali? Figisu za ccm kwa huyo mtulia ziligonga mwamba kura ziliibwa hadi ccm walishindwa wakakata tamaa upande wa kura wakahamia mahakaman napo rufaa haikusaidia ccm uchaguzi wa haki na huru hawapiti bila tume,mahakama na polisi.
 
rasilimali watu

JF-Expert Member
Apr 20, 2017
261
250
True speaking na watu wengi uraiani hawana muamko kama ule wa 2015 kwa hiyo wanachama tuu ndio watakaopigiana kura
 
abdukarim

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
479
1,000
Hiyo idadi ya no uliyoitoa inauonyesha kuwa nyinyi mavieccm mnahangaika kweli kweli .Mnafikiri kinondoni ni wagogo etieeee
 
Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,825
2,000
Hizo 66000 zilikuwa halali? Figisu za ccm kwa huyo mtulia ziligonga mwamba kura ziliibwa hadi ccm walishindwa wakakata tamaa upande wa kura wakahamia mahakaman napo rufaa haikusaidia ccm uchaguzi wa haki na huru hawapiti bili tume,mahakama na polisi.
Watu walikomaaa sana kulinda kura na kumlazimisha mkurugenzi atangaze matokeo...waliiba mpaka kukawa hakuna sehemu ya kuiba tena. Wakawa nanangoja kufanya uhuni wa jutangaza mshindi kwa lazima.

Sasa hizi number tutaona. Kwrnye wasimamizi tumeshawabana.
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
18,950
2,000
Watu walikomaaa sana kulinda kura na kumlazimisha mkurugenzi atangaze matokeo...waliiba mpaka kukawa hakuna sehemu ya kuiba tena. Wakawa nanangoja kufanya uhuni wa jutangaza mshindi kwa lazima.

Sasa hizi number tutaona. Kwrnye wasimamizi tumeshawabana.

Ukweli mkuu jamaa anafikir zile figisu hatuzijui.
 
Konsciouz

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
4,827
2,000
MOD's bana wanashangaza!

Huu uzi wa Pasbo Mayalla umeachwa kartika jukwaa la siasa wakati unahusu uchaguzi

Uzi wangu wameleta huku!

Sio kwamba ninawafundisha kazi zenu bali tendeni haki kwa kila member

LINK>>Uchaguzi wa Kesho Kinondoni na Siha: Wito kwa Chadema na CCM, Tukubali Matokeo!. Asiyekubali Kushindwa Sii Mshindani.
Uchaguzi wa Kesho Kinondoni na Siha: Wito kwa Chadema na CCM, Tukubali Matokeo!. Asiyekubali Kushindwa Sii Mshindani.
Mbona hukukemea kauli za mnyeti!
 
Mwakamele 16

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
1,499
2,000
Inawezekana kupata hata kura sawa na idadi ya watanzania wote nchini lakini ukafanya kituko kimoja ambacho kinaweza kukugharimu kupata kura chache sana hadi ukashangaa mwenyewe! Kumbuka ushindi aliopata Kikwete mwaka 2005 halafu linganisha na ushindi aliopata mwaka 2010
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,015
2,000
Yani unaonyesha kiwango chako cha kufikiri kilivyo chini kupita maelezo..

Leo after almost 2yrs, tunaenda mwaka wa 3 sasa, eti unazungumzia kura 66,000 CCM ilizopata 2015 kama MTAJI..!!

Lini mtaacha kufikiri kwa kutumia makalio jamani..??
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,510
2,000
Katika Uchaguzi wa Ubunge mwaka 2015, Maulid Mtulia akiwa CUF yenye UKAWA alipata kura 70,300 wakati Idd Azzan wa CCM alipata kura 66,000.

Hizi ni kura ambazo zilijumuisha Vyama vinne ndani ya UKAWA.

Leo hii UKAWA ni historia kwa sababu hata salamu za NCCR-Mageuzi hazisemwi achilia mbali uwepo wa bendera ya NCCR-Mageuzi katika mikutano ya CHADEMA.

Sina shaka kura za CCM ziko palepale kutokana na historia ya CCM inayobainisha chama kushikamana pale kimapoingia kwenye mapambano/chaguzi.

Anayedhani kuwa kuna wanaCCM wengi watampigia kura mgombea wa CHADEMA lazima atakuwa hajui historia ya CCM.

Ninajua Mtulia ameenda CCM na kundi lake kwa kiwango kikubwa kutoka CUF huku CHADEMA wakibaki kuvutana na kundi lililompigia kura Mtulia wakati akiwa UKAWA.

Sio uwongo kuwa Kinondoni ilikuwa ngome ya CUF.

Historia inaonyesha kuwa mwanaCUF kindaki ndaki hawezi kuipigia CHADEMA kura infact, ni bora aipigie CCM kuliko CHADEMA.

Mbaya zaidi, Kinondoni ina wazee wengi kuliko vijana. Utafiti unaonyesha hili ni kundi ambalo linapiga kura mara nyingi kwa CCM au CUF.

Kutokana na uwepo wa wazee wengi Kinondoni ndio maana kampeni za CCM zitafungwa na Mzee Makamba.

Kwa mantiki hii, sioni CHADEMA wakishinda katika jimbo la Kinondoni.
Acha uzombi
Cdm walisusia chaguzi ndogo sehem mbalimbali mfano singida alikowakimbia m'bunge wenu baada ya uchaguzi mlipata kura ngapi
Wapigavkura 160000 mnaambulia kura 26 tuambazo zimemfanya zombi wenu kuwa m'bunge.. Shame!
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,510
2,000
Watu walikomaaa sana kulinda kura na kumlazimisha mkurugenzi atangaze matokeo...waliiba mpaka kukawa hakuna sehemu ya kuiba tena. Wakawa nanangoja kufanya uhuni wa jutangaza mshindi kwa lazima.

Sasa hizi number tutaona. Kwrnye wasimamizi tumeshawabana.
Mkuu hivi hili suala la kuwazuia mawakala wa cdm limeishaje
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom