Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

nilikuwa na naendeleakuamini kwamba Dr. Ulimboka steven aliyetekwa,kuteswa na kutupwa katika msitu wa pande alianika taarifa zote za msingi kuhusu kutekwa kwake kabla ya kwendaSouth africa kutibiwa, alifanya mahojiano ambayo yalirekodiwa na yako katka mtandao wa U-tube, amesema kuanzia nani aliyempigia simu,amesema aliyempigia simu anafanya kazi wapi, ameeleza vizuri jinsi alivyotekwa na kuteswa na watu ambao yeye aliwaita kuwa wako trained,[ni kutokana alivyowaona yeye], alieleza jinsi alivyopelekwa kwenye jumba ambalo pamoja na yeye [ulimboka] kupiga kelele hakuna mtu aliyejitokeza kumsaidia. Gazeti la Mwanahalisi lilikuja na namba na majina ya watu waliofanya mawasiliano na Doctor Ulimboka kwa mara ya mwisho, lenyewe limeishia kufungiwa tu!

Mkuu kwa hiyo wewe uamini tena chochote kitakachosemwa na Dr Ulimboka zaidi ya yale maneno aliyosema hawali...na ukweli kwa upande wako ni habari iliyoletwa na Mwanahalisi.
 
Tumekuwa nchi ya kijinga sana, nchi ya kinafiki sana, nchi ya watu wasiothaminiana, nchi ya ambayo Raia wake wanafanikiwa kwa kusema uongo, nchi ambayo raia wake wanaosema ukweli wanakwamishwa katka nyanja zote za maisha, nilikuwa na naendelea kuamini kwamba Dr. Ulimboka steven aliyetekwa,kuteswa na kutupwa katika msitu wa pande alianika taarifa zote za msingi kuhusu kutekwa kwake kabla ya kwendaSouth africa kutibiwa, alifanya mahojiano ambayo yalirekodiwa na yako katka mtandao wa U-tube, amesema kuanzia nani aliyempigia simu,amesema aliyempigia simu anafanya kazi wapi, ameeleza vizuri jinsi alivyotekwa na kuteswa na watu ambao yeye aliwaita kuwa wako trained,[ni kutokana alivyowaona yeye], alieleza jinsi alivyopelekwa kwenye jumba ambalo pamoja na yeye [ulimboka] kupiga kelele hakuna mtu aliyejitokeza kumsaidia. Gazeti la Mwanahalisi lilikuja na namba na majina ya watu waliofanya mawasiliano na Doctor Ulimboka kwa mara ya mwisho, lenyewe limeishia kufungiwa tu!

Lakini leo kila mtu anahoji ukimya wa Dr. Ulimboka,mfano wandishi/wananchi/ wanaharakati/wanasiasa/ n.k wanahoji kwa nini Ulimboka hawataji waliomteka, wengne wanaenda mbali na kusema Ulimboka kanyamazishwa na watu wanaowaita vigogo n.k, huu ni upumbafu, unafiki, unaweza kuongeza majina mengne yanayomanisha tabia za kipumbafu na kinafiki, jiulize, je sisi kama taifa na kama wananchi wanyonge tumezifanyia kazi kwa kiwango gani taarifa ambazo tayari Doctor katoa?? Je tumedai kwa kiasi gani kukamatwa kwa watu/ mtu aliyempigia simu doctor mara mwisho kabla ya kutekwa? Tumedai kwa kiasi gani serikali kuruhusu tume huru?? Kama tumeshndwa kama taifa kuinuka na kutaka wahusika wote wakamatwe na matokeo yake watu wameishia kukamata Joshua mlundi tu,tunapata wapi ujasiri wa kuendelea kumshinikiza Doctor ulimboka atoke hadharani na kuwataja wahusika?

Kumbuka Doctor ulimboka pamoja na maumivu aliyokuwa nayo alijitahdi kuelezea scenario ya kutekwa kwake yote,lakn kwa sababu taifa letu limekuwa la wanafiki na wapumbafu tumeshndwa kufanyia kazi taarifa ambazo zipo tayari na matokeo yake tumejikita katika kumlazimisha ulimboka aache kupumzika ili aje kutoa taarifa za kutekwa kwake! Ambazo kimsingi haziwezi kuwa tofauti na zile ambazo ziko u-tube na ambazo mwanahalisi liliandika.

Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka steven ni unafiki,ujinga na upumbafu uliokisiri. Na kama taifa tumeonesha kwa kiwango kisichotia shaka kwamba hatuna uwezo wa kurisk maisha yetu kwa kiwango chochote kwa ajili ya kuteteana wanyonge kwa wanyonge. Mwisho kabisa nataka ieleweke kwamba mtu yeyote awe wa serikalin, CCM,CDM, CUF, TLP,MAGAZETINI, NGOs ,KANISANI, TELEVISION akisimama na kusema anahitaji taarifa zaidi kutoka kwa Doctor Ulimboka juu ya kutekwa kwake mtu huyo apelekwe Milembe mara moja.

Mkuu umesema vizuri, endapo kama taarifa zilizoandkwa na Mwanahalisi zilikuwa za kweli. Ukimya wa hata wale waliokuwa mbele kuandika na hata kubeba mabango kama akina KUBENEA, ANANILEA NKYA, HELEN KIJO BISIMBA na hata baadhi ya WANASIASA maana yake ni kwamba walikuwa na taarifa za KUPIKWA tu na kamwe hawezi kusimama na kuzithibitisha. Hivi mtu kama Dr. Deo, rafiki wa karibu sana wa Dr. Ulimboka na ambaye alihojiwa na Redio Clouds na kusema siku Ulimboka anatekwa walikuwa pamoja yuko wapi? Hizo ni dalili za Serikali kushinda vita hii ya kusingiziwa kuwa imehusika.
 
.hao wana harakati unaowasema, unaowashutumu ndio walikuwa mstari wa mbele kumsaidia Dr,Ulimboka mama Jasiri wa Kitanzania Mama Bisimba na wenzake walikuwa msitari wa mbele kuishutumu serikali juu ya tukio hili pengine kukushinda hata wewe unayejitokeza leo kulaumu ingelikuwa ni vyema basi na wewe ungeonyesha uliguswa vipi tangu siku hiyo na tukio hilo.

HELEN KIJO BISIMBA na hata baadhi ya WANASIASA maana yake ni kwamba walikuwa na taarifa za KUPIKWA tu na kamwe hawezi kusimama na kuzithibitisha.

Haya mkuu Mujwahuzia na mama Bisimba mjibu shutuma hizo sasa

Hata hivyo mama Bisimba kazi yake nini? Anapata pesa nyingi tu toka kwa wafadhili ili aweze kusaidia wananchi kusimamia haki.

Mimi naweza kusema kama kuna expert wa kwanza kabisa kuongea na Dr. Ulimboka wakati memory yake bado ipo fresh ni mama Bisimba. Kwanini hiyo isiwe advantage, if she pulls the plug heads will definitely roll that's why I'm suspecting something fishy is going on for her to just lapse into silence
 
Mkuu kwa hiyo wewe uamini tena chochote kitakachosemwa na Dr Ulimboka zaidi ya yale maneno aliyosema hawali...na ukweli kwa upande wako ni habari iliyoletwa na Mwanahalisi.
mkuu ulimboka si ndiye aliyeweza kukumbuka namba ya Dr Deo kutoka kichwani?sasa kivipi wewe huamini video yake u-tube???
 
Mkuu inawezekana aliyemteka na kumpiga Dr Ulimboka, si yule aliyemtaja kuwa ni afisa usalama wa taifa aliyemuita katika pale Leaders, bali watu wengine waliofika ghafla pale na gari, je anawezaje kuwajua ni watu gani hao na wanatoka wapi, hadi aweze kuwataja? Labda ataje majina ya watu wa kufikirika au anaowahisi ambao huenda wakawa si watu sahihi na kuingia matatani...katika akili ya kawida Dr Ulimboka, anawezaje kumtambua mtu aliyejifunika sura usiku huku akimpiga bila shaka ni vigumu, anaweza kutaja majina ambao sio sahihi na wale waliotajwa wanaweza kufungua kesi ya kupinga kuchafuliwa majina na kudai mamilioni ka fidia..
 
mbona kuna sehemu umenukuliwa ukisema anayejua wahusika wa utekaji ule ni ulimboka na mungu tu,mkuu ulimanisha nini??
 
tena unafiki wa hali ya juu
kama mtu anataka ukweli aende you-tube asikilize aliyoyasema Dr Uli wakati akiwa na damu kibao mwilinina maumivu tele moyoni,ule ndio ukweli wenyewe,tusisubiri ukweli mwingine.hutaki unaacha.
 
ndegere wanap[okosa chakula humlilia Muumba wao na huwasikiliza..........................nasi hii dhuluma tunamlilia Muumba yuleyule naye anatusikiliza hivi sasa..............................hakuna fisadi hata mmoja ambaye mwisho wake utakuwa mwema.........................wote wataadhirika mchana kweupe
 
Mkuu inawezekana aliyemteka na kumpiga Dr Ulimboka, si yule aliyemtaja kuwa ni afisa usalama wa taifa aliyemuita katika pale Leaders, bali watu wengine waliofika ghafla pale na gari, je anawezaje kuwajua ni watu gani hao na wanatoka wapi, hadi aweze kuwataja? Labda ataje majina ya watu wa kufikirika au anaowahisi ambao huenda wakawa si watu sahihi na kuingia matatani...katika akili ya kawida Dr Ulimboka, anawezaje kumtambua mtu aliyejifunika sura usiku huku akimpiga bila shaka ni vigumu, anaweza kutaja majina ambao sio sahihi na wale waliotajwa wanaweza kufungua kesi ya kupinga kuchafuliwa majina na kudai mamilioni ka fidia..

We bwana umekuwa msahaulifu sana,
Dr alishasema yote kabla haja ondoka na mengi yaliyandikwa juu ya wale waliotakiwa kurudisha wallet na simu,sasa mnataka aseme nini tena? kwanini tusitumie maelezo yake wakati akiondoka kwenda US kuwapata wabaya wake?

sasa mmeifungia mwanahalisi iliyofanya uchunguzi wa kina,hilo si sululisho,lipelekeni gazeti mahakamani ili tujue uongo wa mwanahalisi,haya mmelifungia then what next? je habari zile ni za uongo ama za ukweli?
 
mbona kuna sehemu umenukuliwa ukisema anayejua wahusika wa utekaji ule ni ulimboka na mungu tu,mkuu ulimanisha nini??

Mkuu hayo sio maneno yangu hapa ninamnukuu Dr Ulimboka mwenyewe..

"Ninaomba Watanzania wawe na subira kwanza, nitaanika kila kitu baada ya siku 40 kuanzia sasa, jambo kubwa ninaloangalia sasa ni kuimalisha kwanza afya yangu ambayo Mungu amenipigania vya kutosha, baada ya hapo nitaeleza kwa kina mkasa huu ulionikuta ukweli ninaujua mwenyewe".
 
Tumekuwa nchi ya kijinga sana, nchi ya kinafiki sana, nchi ya watu wasiothaminiana, nchi ya ambayo Raia wake wanafanikiwa kwa kusema uongo, nchi ambayo raia wake wanaosema ukweli wanakwamishwa katka nyanja zote za maisha, nilikuwa na naendelea kuamini kwamba Dr. Ulimboka steven aliyetekwa,kuteswa na kutupwa katika msitu wa pande alianika taarifa zote za msingi kuhusu kutekwa kwake kabla ya kwendaSouth africa kutibiwa, alifanya mahojiano ambayo yalirekodiwa na yako katka mtandao wa U-tube, amesema kuanzia nani aliyempigia simu,amesema aliyempigia simu anafanya kazi wapi, ameeleza vizuri jinsi alivyotekwa na kuteswa na watu ambao yeye aliwaita kuwa wako trained,[ni kutokana alivyowaona yeye], alieleza jinsi alivyopelekwa kwenye jumba ambalo pamoja na yeye [ulimboka] kupiga kelele hakuna mtu aliyejitokeza kumsaidia. Gazeti la Mwanahalisi lilikuja na namba na majina ya watu waliofanya mawasiliano na Doctor Ulimboka kwa mara ya mwisho, lenyewe limeishia kufungiwa tu!

Lakini leo kila mtu anahoji ukimya wa Dr. Ulimboka,mfano wandishi/wananchi/ wanaharakati/wanasiasa/ n.k wanahoji kwa nini Ulimboka hawataji waliomteka, wengne wanaenda mbali na kusema Ulimboka kanyamazishwa na watu wanaowaita vigogo n.k, huu ni upumbafu, unafiki, unaweza kuongeza majina mengne yanayomanisha tabia za kipumbafu na kinafiki, jiulize, je sisi kama taifa na kama wananchi wanyonge tumezifanyia kazi kwa kiwango gani taarifa ambazo tayari Doctor katoa?? Je tumedai kwa kiasi gani kukamatwa kwa watu/ mtu aliyempigia simu doctor mara mwisho kabla ya kutekwa? Tumedai kwa kiasi gani serikali kuruhusu tume huru?? Kama tumeshndwa kama taifa kuinuka na kutaka wahusika wote wakamatwe na matokeo yake watu wameishia kukamata Joshua mlundi tu,tunapata wapi ujasiri wa kuendelea kumshinikiza Doctor ulimboka atoke hadharani na kuwataja wahusika?

Kumbuka Doctor ulimboka pamoja na maumivu aliyokuwa nayo alijitahdi kuelezea scenario ya kutekwa kwake yote,lakn kwa sababu taifa letu limekuwa la wanafiki na wapumbafu tumeshndwa kufanyia kazi taarifa ambazo zipo tayari na matokeo yake tumejikita katika kumlazimisha ulimboka aache kupumzika ili aje kutoa taarifa za kutekwa kwake! Ambazo kimsingi haziwezi kuwa tofauti na zile ambazo ziko u-tube na ambazo mwanahalisi liliandika.

Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka steven ni unafiki,ujinga na upumbafu uliokisiri. Na kama taifa tumeonesha kwa kiwango kisichotia shaka kwamba hatuna uwezo wa kurisk maisha yetu kwa kiwango chochote kwa ajili ya kuteteana wanyonge kwa wanyonge. Mwisho kabisa nataka ieleweke kwamba mtu yeyote awe wa serikalin, CCM,CDM, CUF, TLP,MAGAZETINI, NGOs ,KANISANI, TELEVISION akisimama na kusema anahitaji taarifa zaidi kutoka kwa Doctor Ulimboka juu ya kutekwa kwake mtu huyo apelekwe Milembe mara moja.

Nakuonga mkono mkuu, tunapenda matukio. Wanataka Dr. Ulimboka aitishe mkutano wa wanahabari awape udaku waendelee kuuza magazeti, kama hawezi kuamini alichokisema Ulimboka akiwa kwenye maumivu wanataka aseme nini tena?
Hata yeye ni Binadamu anaogopa kupambana na hii serikali ya kibabe! MMeona kilichotokea kwa mwanahalisi lilipojaribu kuendeleza huu mjadala?
 
Jamani Kova alishamkamata mtekaji wa Ulimboka na swala liko mahakamani haki ya Ulimboka itapatikana huko, hata hivyo Dr. Uli alishamwachia Mungu jambo hilo! Ha ha ha haaaa! Hii ndo Tanzania na Watanzania....
 
kaka kuhusu Ritz
kuna usemi unasema UKIWA MUONGO USISAHAU ULICHOSEMA

Mkuu yote ninayoyasema ni maneno ya Dr Ulimboka, sio yangu, Dr Ulimboka, kweli kasema.. ukweli anaujua mwenyewe wewe unapinga sio kauli yake?
 
kwanza ni nani aliyekupa mamlaka ya kuliongelea swala ambalo lipo mahakamani? kumbuka hata wabunge walizuiwa wasiliongele isipokuwa mkuu wa nchi na kova tu ndio wenye haki,iweje nawe unaliongelea humu JF?
Hahahahahahahaha
tanzania naipenda nchi yangu
 
Kuna makundi matatu yanataka kunufaika na sakata la Dr Ulimboka, kwa maslahi yao binafsi.

1. Kundi la kwanza hawa wanajiita wanaharakati wa haki za binadamu, na NGO zao hawa wanajitengenezea mazingira mazuri kutoka kwa wafadhili wao nchi za magharibi pamoja na Marekani wazidi kuwapa fedha ndio maana tuliwaona wapo kwenye maandamano na kwenda kumpokea Dr Ulimboka, baada ya kurejea kutoka Afrika Kusini.

2. Kundi la pili ni la wana siasa hawa wanataka Dr Ulimboka, aendelee kuwataja watu kutoka serikalini hasa usalama wa taifa hili wao wapate pakutokea kama agenda.

3. Kundi la tatu hawa vyombo vya habari hasa magazeti hawa wao wanataka atoe kauli mpya hili wao wapate kuuza magazeti yao.

Katika hawa hakuna hata mmoja mwenye dhamira ya dhati ya kumsaidia Dr Ulimboka.
 
Kundi la nne ni serikali, hawataki Ulimboka aongee kwa kuzidi kuwaumbua zaidi na kufanya uwezekano wa serikali kuanguka kuwa mkubwa
 
mkuu kati ya wtz wenye chembe ya ukweli na wewe upo! kimsingi tatizo kubwa linalokwamisha juhudi za maendeleo ktk nchi yetu ni UMASIKINI WA AKILI huo unaouita upumbavu, unafiki na ujinga uliokithiri! siku zote tumeishia kuandika maneno mengi, kujidai kwa lugha za madaha na kujiona wajuaji wa kuhoji, kukosoa nakukashifu kwa njia ya maneno tu ambayo kwa karne zote hayajawahi kuleta mabadiliko, hawa CDM kwa mbali wanaunyemerea ukweli kwa kauli mbiu yao ya NGUVU YA UMMA,maboresho yanayotakiwa kufanywa ni kutafsiri kauli hiyo kwa vitendo yaani kuhamasisha watu KUANDAMANA MWANZO MWISHO in da expense hata ya maisha yetu! ukisema hili utawasikia coward people, nina familia na watoto watatu, wengine ndugu zangu wote wananitegemea, wengine watanichinjia baharini n.k. kwa upumbavu huu wenzetu wote duiani watatupita kimaendeleo licha ya UTAJIRI MKUBWA WA RASILIMALI TULIONAO.

GREAT SHAME TO US!!............................................................
 
Back
Top Bottom