Huu sio ubinadamu kabisa

Kama haruhusiwi kuingia na simu kwenye mtihani yeye why kaingia nayo. Even haina uwezo wa internet ila inatuma na kupokea sms
 
project si mwaka wa mwisho ? ndiyo lina UE yake, ni kuonesha kile ulichotengeneza kikifanya kazi
Ndiyo ni mwaka wa mwisho, umewahi kuona mtu ana-disco kisa incomplete ya projec? Katika taaluma yangu ya kufundisha vyuoni mwaka fulani, hii haikuwahi kutokea. Ni kwenye modules za kawaida tu! Project uki miss presentation mara nyingi una retake na huwezi ku graduate kijana wangu. Sivyo?!
 
sijui kuhusu project, lakini nimeshuhudia waathirika kadhaa kwa modules zingine,
ukiwa na INC tu, wewe ni bye bye
 
Hao ndio wale magaidi wanasoma peke yao. Kuna unapiga msuli na wana huwezi kukosa info
 
Sheria ni msumeno....
 
Wakati nafanya mtihani wangu wa mwisho mwisho kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu katika chuo fulani... Ilisha wahi nitokea.. nilisahau la bontel mfukoni vile viswaswadu vyembambaaaa!! Afu virefu sijui nilifikiri nini? Sijui niliwaza ni rula.... SAsa pepa limeanza kikaitafukoni... Nili tetemeka sana... Katika wale wasimamizi kuna Mdada/mama fulani kiaina... Alisikia akanionyesha ishara nizime afu niende kuweka kwenye begi.. nikatekeleza baada ya Hapo akaniambia kaendelee na mtihani....

Daah!! Nikasema dahh! Roho wa Mungu alikuwa ndani yake... Nilimuombea baraka KWa Mungu sana... Maana alijua huyu mwamba hajafanya makusudi kupitiwa tu.....
 
Imepita muda gani tangu tukio? Ilitakiwa lilipotokea tu apate mwanasheria, kwa pamoja Simu ipekuliwe kuthibitisha kama kipindi cha mtihani Simu ilitumika. Kama haikutumika, ingekuwa ni mazingira ya kuzuia kufukuzwa.
Roho mbaya ni sifa ya MTz, kumharibia mwenzie ndio burudani kubwa aipatayo. Kwa nini wasingemfanya ameshindwa huo mtihani ili aurudie?
Na pia WaTz tuache ushamba na hizi simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…