Tequila sir
Member
- Mar 21, 2023
- 43
- 43
Yupo diploma ya ujenziCourse gani?
Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.
ipo hivi Kuna dogo anasoma Must mwaka wa tatu MUST alijisahau akaingia na simu ndogo(kiswaswadu) kweny chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani
Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Tutoe msaada wa Mawazo ili kijana arudi nyumbani na ChetiKwani mtu hawezi kuingia na simu akawa namtumia mtu wa nje maswali kisha akatumiwa majibu au kuandika majibu na kuyasave kwenye drafts upande wa sms?
Sheria ilishasema usiingie na simu wewe umeingia nayo ya nini?
Kama sheria ya mtihani ni kutoingia chumba cha mtihani ukiwa na simu (zingatia neno simu lisiwe limetofautisha model za simu ama features) na wewe ukakaidi. Wewe ndiwe mwenye makosa na sio wasimamizi wa mtihaniKuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.
ipo hivi Kuna dogo anasoma Must mwaka wa tatu MUST alijisahau akaingia na simu ndogo(kiswaswadu) kweny chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani
Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Dogo Mwaka wa tatu alafu anafanya mambo kama First year.
Dogo afukuzwe, angekuwa Mwaka wa kwanza walau tungesema bado ni mdogo, lakini Mwaka wa tatu alafu anafanya vitu vya hivyo, huyo ni kubwa Jinga.
Duuh kwahyo akalime tu kijijniubinadamu haupo kwenye sheria, maana nitaingia na simu nikidakwa nitasema nilijisahau
hapo hakuna namna
Mwambie apambane ili mradi tu awe fundi mzuri wa Ujenzi, makaratasi hayana issue sana kwenye ufundi,Mara nyingi matajiri wa Ujenzi tunaangalia kazi yako kwanza kabla ya kuaanza kuuliza makaratasi!
So hauna mawazo mbadala Mkuu lakini kajisahau kupo katika Maisha*
hakuna namna hapo, labda aanze na serikali ya wanafunzi wa chuo
Fuata sheria wacha ujanjaujanja!