Jamni mm namba moja 1. ndio nakerwa nayo haswa yaani kuna wanaume kazi kununa mpaka kero unabembeleza mpaka unatamani na yy akuudhi umpe adabu jamani wajirekebishe
Mkuu inamaana wanawake na watoto tena "watoto zaidi" wanafaa kuwekwa kwenye kundi moja? Huu ni udhalilishaji wa wanawake yaan wanawake wanaotupatia raha na utamu unawaweka level moja na watoto? Please Waombe radhi