Midazolam
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 807
- 1,348
Wakuu naomba niende kwa mada
Mimi ni mtoto wa mwisho kwenye familia ya mzee kwa upande wa mama,japo mzee alikuwa na wake wanne.
Na mama ndo alikuwa mke wa kwanza.Japo mzee alishatangulia mbele za haki,apunzike kwa amani
Kuna umri ukifika utaanza kusikia au maneno maneno kutoka kwa wazazi kuwa unasubiri nini mda unaenda oa nione wajukuu angali nikiwa hai,na wazazi wangu nawapenda sana.
Sasa mtihani siyo kuoa tu lazima niangalie mwanamke wa kuoa sitaki kukurupuka,imefika mpaka nasikia kama vipi tumtafutie japo kwangu ni ngumu sana kutafutiwa na hata wao wanajua siwezi kukubali hata kwa bunduki haiwezekani
Vijana wenzangu nyie ambao au mliweza kupitia kwenye huu msala mliwezaje ? Maana unaweza kufanya haraka kufurahisha wazazi alafu ikakuletea shida mbeleni ,ebu tupeane ujanja wanaume wenzangu