Huu niusemi wa leo¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡

Huu niusemi wa leo¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡¡

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
.kumbuka........


1."Gari la kuvutwa haliovateki"
2.Kisigino hakikai mbele
3.Mganga haagizi tembele
4.Wimbo wa taifa haupigwi disko
5.Feni haiwashwi Beach
6.Mshikaki hauchomwi kwa jiko la gesi
7.hata Bibi alikuwa binti
8.Mke wa mtu sumu,Mume wa mtu Maziwa
9.Kipara bila pesa ni Kovu
10.Mbwa hanenepi miguu
11.Picha ya Rais haina Body guard
12.Mjini shule,Kijijini tuition
13.Saa ya ukutani haivaliwi Mkononi
14.Heshima pesa,Shikamoo Makelele

Ongeza zako
 
kuku anayetaga hachinjwi
hakuna njia ya kutafuta amani,amani ndiyo njia
 
mkund* hauna kisu ila unakata mavi.

Msemo Wa kishe.nzy kabisa huu! Au ndo ma'ko alikufundisha hivyo? Mwenzio kaweka vizuri zombie umeshuka kivyako!
 
Msemo Wa kishe.nzy kabisa huu! Au ndo ma'ko alikufundisha hivyo? Mwenzio kaweka vizuri zombie umeshuka kivyako!

eeeee mama nawe kitu kidogo unafoka
kumbuka shobo dhambi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom