Tum4
Member
- Jul 15, 2017
- 36
- 2
- Thread starter
- #21
Hapana mkuu nimejalibu kumuuluza doctor kanambia hiyo ni orf disease na cyo FMD coz FMD inaaffect mpaka kwato alafu pia vidonda vinatokea ndani ya mdomo mpaka kwenye ulimi ikiwa niyamda mrefu mpaka ulimi unatoka, cyo mbaya lakn nashkuru kwa ushaur wenu.Inawezekana ni FMD.
So huduma ya kwanza andaa maji ya vuguvugu na chumvi osha sehemu zilizo athirika halafu pakaa chumvi .since it is viral disease muone veterinarian aliye jiran atamchoma pen-strep /penicillin kuzuia secondary infaction.
Kuzuia
Tenga myama aliye athirika maji na chakula sehem yake , safisha dumisha usafi katika banda, epuka contamination. Mengine atakushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwafaida tu yataifa nikua orf disease inatibika na dawa ya PPF alafu unasugua hvyo vidonda kwa maji ya uvuguvugu yaliyo changanywa na chumvi
Sent using Jamii Forums mobile app