sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,478 Aug 26, 2014 #41 Ha ha ha ha.. Mahaba niue nimalize kama ebola lol..
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Aug 26, 2014 #42 mahaba niue hapo mkuu kabanga Vile vyumba wanaviita master bed room vinaficha mengi mkuu kabanga kuna watu wanafanyiwa zaidi ya hayo bana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mahaba niue hapo mkuu kabanga Vile vyumba wanaviita master bed room vinaficha mengi mkuu kabanga kuna watu wanafanyiwa zaidi ya hayo bana
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Aug 26, 2014 Thread starter #43 Mr Rocky said: mahaba niue hapo mkuu kabanga Vile vyumba wanaviita master bed room vinaficha mengi mkuu kabanga kuna watu wanafanyiwa zaidi ya hayo bana Click to expand... kama ni hivyo balaa....
Mr Rocky said: mahaba niue hapo mkuu kabanga Vile vyumba wanaviita master bed room vinaficha mengi mkuu kabanga kuna watu wanafanyiwa zaidi ya hayo bana Click to expand... kama ni hivyo balaa....
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Aug 26, 2014 Thread starter #44 sosoliso said: Ha ha ha ha.. Mahaba niue nimalize kama ebola lol.. Click to expand... eh....kama ibola....!
sosoliso said: Ha ha ha ha.. Mahaba niue nimalize kama ebola lol.. Click to expand... eh....kama ibola....!
Aurora JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 7,308 Reaction score 5,275 Aug 26, 2014 #45 hahahahahahahhahaha they call it love
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Aug 26, 2014 #46 miss neddy said: haungui hapo????? Click to expand... Mbona pasi yenyewe ipo off!
Uliza_Bei JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 3,216 Reaction score 994 Aug 26, 2014 #47 Hii ni kama kushabikia CCM eti inaleta maendeleo Tanzania ikiwa na viongozi kama Komba, Nkamia, Mwigulu, Malima na yule mbunge wa Mtera
Hii ni kama kushabikia CCM eti inaleta maendeleo Tanzania ikiwa na viongozi kama Komba, Nkamia, Mwigulu, Malima na yule mbunge wa Mtera
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Aug 26, 2014 #48 Mhhhh!kuna watu wanayaweza?
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Aug 26, 2014 #49 utafiti said: Wakukaza sauti ni wepi hao? Click to expand... wale wanaosalimia mwangarka...
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Aug 26, 2014 #50 Mr Rocky said: mahaba niue hapo mkuu kabanga Vile vyumba wanaviita master bed room vinaficha mengi mkuu kabanga kuna watu wanafanyiwa zaidi ya hayo bana Click to expand... una experience ya kutosha kumbee?hiyo picha mbona kama ni wewe?
Mr Rocky said: mahaba niue hapo mkuu kabanga Vile vyumba wanaviita master bed room vinaficha mengi mkuu kabanga kuna watu wanafanyiwa zaidi ya hayo bana Click to expand... una experience ya kutosha kumbee?hiyo picha mbona kama ni wewe?
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Aug 26, 2014 #51 mwekundu said: una experience ya kutosha kumbee?hiyo picha mbona kama ni wewe? Click to expand... Mkuu mwekundu nina ndoa imara na yenye furaha muda wote na namshukuru Mungu kwa hilo haliendani na utumwa kama huu wa kulazimisha kupendwa Na ukishaona mtu anafanywa mtumwa wa mapenzi jua hakuna furaha ila kuna kulazimisha mambo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mwekundu said: una experience ya kutosha kumbee?hiyo picha mbona kama ni wewe? Click to expand... Mkuu mwekundu nina ndoa imara na yenye furaha muda wote na namshukuru Mungu kwa hilo haliendani na utumwa kama huu wa kulazimisha kupendwa Na ukishaona mtu anafanywa mtumwa wa mapenzi jua hakuna furaha ila kuna kulazimisha mambo
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Aug 26, 2014 #52 Mahaba niueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kabanga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016