Huu ni zaidi ya

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,205
18,475
1560639_899336323427585_4918627147103140602_n.jpg

Mnisaidie naamini huu ni zaidi ya ufalla, eti Erickb52 Mr Rocky, Mtambuzi Asprin utafiti, Excel, Tyta.. Mndengereko, mwekundu, kiwatengu Ntuzu Kibo10......
 
Last edited by a moderator:
Aisee kabanga huu utamaduni wa kimangaribi wa haki sawa ni mgumu sana mkuu
Ila kuna baadhi ya watu wanauweza pia!
 
Last edited by a moderator:
Kaka kabanga hii ipo kabisa, kama ukifanya hivi ndio anaridhika jst do it, me ata zaidi ya hivo naweza kufanya, si ni mapenzi tu kwani adhabu?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kinyume kabisa na haki za viumbe wote duniani, be it dem, msela, simba, tembo, samaki, chura au chochote chenye surface kufanya jambo hilo!
Kiuanaume huyu ni kupiga mawe mpaka arudishe number haiwezekani atuzalililishe wanaume wenzie hivyo!

teh teh teh, jamaa kapenda kaka daviey69 atafanya nini....!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapo jamaa anafanyiwa tiba ya kupunguza kitambi, mafuta yanayeyushwa kwa moto wa pasi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom