Huu ni zaidi ya

Mkuu hapo jamaa anafanyiwa tiba ya kupunguza kitambi, mafuta yanayeyushwa kwa moto wa pasi...

Kama hiyo nayo ni dawa ya kupunguza kitambi bhaasi, nitaanza kufanya watu8....
 
Last edited by a moderator:
Ukute hapo hiyo pasi ina speed 5 ila anahisi kama amewekewa barafu ndo kupenda huko yakheee
 
Mungu anajitahidi kuongoza watu wake kudumisha upendo wakweli nashetani anijahidi kutengeneza viwanda vya kuwamaliza ,cheki kaka hata hiyo pasi bado imetoka ktk kiwanda cha shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…