Huu ni zaidi ya uvumilivu... BUT Wanaume mwisho wa Habari!

Blaine to me nilichokisema unless huyu bwana juma aamue kubadilika kiukweli wala sio kinafki anaweza kuendelea na mkewe ila kama anaona hao mashoga ni wazuri so hawez kuacha hii tabia basi mkewe aondoke na hapa nke ndo amuulize swali hili mumewe
kama ni gay, then hiyo ndoa si ya ukweli alifunga tuu ili kutimiza wajibu. hio kitu haikuanzia siku ya kipaimara. its not a matter of men>women ni kwamba hana mapenzi kwa mkewe. if angekuwa na mwanamke kungekuwa na hope, otherwise ni kujidanganya tuu. ukiona mumeo ana m/me mwingine jua kwamba wewe uliolewa kupamba nyumba tuu huna tofauti na makochi au kapeti
 
Angalau hadisi ya Mbu inaeleweka. ila ya huyu kumpeleka shoga nyumbani 'ake tena akijua n'kewe atarudi wakati wowote.... hapana asee...

Na hayo mashuka yalichafuliwa na mav.i siyo? Kwahiyo jamaa alijua n'kewe akifua nnya ya shoga hatastuka au na mashuka angefua usiku kabla n'kewe hajarudi?

Au hata angemuinamisha kichakani chap chap hahahahha aisee shetani mbaya akiamua kukuumbua akili yote inayeyuka Babu yangu.
 
unasahau kwamba ukisha aua kuwa shetan hata bahari utaona kamto tena kadogo.

kimsingi huyu bwana kwanza pepo alitaka ajidhihirishe kwa mkewe manake kaambiwa huyu rafiki yako si riziki bado kamtetea, kaondoka nae nyumban kwake pasi kujali mkewe kaingia ndani mume aanza kujitetea hakya Mungu sjafanya kitu huon kama huyu bwana kama vile alijitoa akili?
 
Blaine ningependa kuuelewa zaidi mtazamo wako. Ina maana mtu kufanya hayo ni lazima awe gay tangu kuzaliwa? au anawezajikuta anajifunza kuwa gay ukubwani?
 
usiwe kama tumbo la kuharisha enh! dawa yako wewe ipo utanikomaje mwaka huu?????????

Aisee.... na kweli asee. walisema dalili za mvua ni....

Wakulu lolote litakalonitokea kuna ushahidi hapa. Naomba muutoe kwa wahusika. Kama kuna mtu ana namba ya Kamanda Kamuhanda naomba apeane na mimi.

Baada ya kusema hayo napenda kukufahamisheni kuwa aliyekuwa anakameruniwa ni mme wa shosti ake gfsonwin vinginevyo pasingetosha. Wanawake wana wivu wa kushea storongo na si vinginevyo!
 
Popote ulipo MwanajamiiOne huyu mdada unayemwita mvumilivu alishindwaje kuvumilia hata akamsimulia "msiri" wake gfsonwin ambaye naye kaja kumwaga siri humu jamvini pasi kujua labda shosti ake au mmewe ni member humu?..... STUKA!

Umwone mmeo anamkamerun mtu ukimbilie kwa jirani kuomba maji? Over My Dead Body!!

Yuko wapi cacico aje amshuhudie msiri wake anavyomwaga siri za hadisi ya shoga ake hapa lol

Ngoja nirudi machimboni mie.

Inawezekana fijo kumbeba loboti na kwenda kumkamulia nyumbani kwenye kitanda cha mke wake kweli?
 
Last edited by a moderator:
Au hata angemuinamisha kichakani chap chap hahahahha aisee shetani mbaya akiamua kukuumbua akili yote inayeyuka Babu yangu.

MJI usisahau kwamba ibilisi akitaka kujidhihirisha hata kaa la moto utaona ni jivu tena la vuguvugu tu. kanza kwenda na mtu wa namna hiyo kwa mkewe na akamtetea sio naona kama alirukwa na akili vile.
 
Aisee.... na kweli asee. walisema dalili za mvua ni....

Wakulu lolote litakalonitokea kuna ushahidi hapa. Naomba muutoe kwa wahusika. Kama kuna mtu ana namba ya Kamanda Kamuhanda naomba apeane na mimi.

Baada ya kusema hayo napenda kukufahamisheni kuwa aliyekuwa anakameruniwa ni mme wa shosti ake gfsonwin vinginevyo pasingetosha. Wanawake wana wivu wa kushea storongo na si vinginevyo!

utabaki kutapatapa kama samaki aloweka nchi kavu tulia kanza.
 
Au hata angemuinamisha kichakani chap chap hahahahha aisee shetani mbaya akiamua kukuumbua akili yote inayeyuka Babu yangu.

Ewaaaa...... now you are talking.

Kwa taarifa yako mabasha huwa hayafanyii ubazazi kitandani, seuze nyumbani?

Source: Lobhoko, Ndagafijo.
 
MwanajamiiOne na Blaine, hivi kua ma gay wakuzaliwa? je utamjuaje huyu? na je si kwamba wote wanajifunza tu kwenye mazingira?
 
Last edited by a moderator:
Ewaaaa...... now you are talking.

Kwa taarifa yako mabasha huwa hayafanyii ubazazi kitandani, seuze nyumbani?

Source: Lobhoko, Ndagafijo.

mmmh! sasa huyu kathibitisha tofauti wewe unasemaje?
 
Au hata angemuinamisha kichakani chap chap hahahahha aisee shetani mbaya akiamua kukuumbua akili yote inayeyuka Babu yangu.

Pengine huyo choko anahalisha alihofia kumpakaza kinyesi mchat akaomba waende sehemu yenye maji
 
Blue Monday ni vigumu sana kusoma "story" ndefu kama hii, hata kabla ya kunywa "supu"...!
 
Blaine ningependa kuuelewa zaidi mtazamo wako. Ina maana mtu kufanya hayo ni lazima awe gay tangu kuzaliwa? au anawezajikuta anajifunza kuwa gay ukubwani?
mpaka u-do na m/me mwenzako means umemtamani, which requires gay feelings na kama ni hivyo then m/mke hana nafasi. wanaoanza 'kujifunza ukubwani' had the feelings tangu zamani lakini hawakufanya kitu either uwoga au hali haikuruhusu.
 
Inawezekana fijo kumbeba loboti na kwenda kumkamulia nyumbani kwenye kitanda cha mke wake kweli?
TIQO siju kwann kumfanya kwenye kitanda cha mkewe inakuwa ishu je angemfanyia guest ingebadili ukweli kwamba bwana analawiti huyu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom