Huu ni zaidi ya uvumilivu... BUT Wanaume mwisho wa Habari!

Ewaaaa...... now you are talking.

Kwa taarifa yako mabasha huwa hayafanyii ubazazi kitandani, seuze nyumbani?

Source: Lobhoko, Ndagafijo.

Now you are talking
Siamini kama fijo anaweza peleka mzigo home
 
Inawezekana fijo kumbeba loboti na kwenda kumkamulia nyumbani kwenye kitanda cha mke wake kweli?

Ova mai dedi bodi....

Mwanaume anaweza fanya kosa la kumpeleka mwanamke chumbani ake pale anapojua mkewe kasafiri. Lakini eti apeleke senge nyumbani wakati wife ako next street? Ngumu kumesa asee...

BTW hii "fijo" na "loboti" machale kundesa!!
 
Ewaaaa...... now you are talking.

Kwa taarifa yako mabasha huwa hayafanyii ubazazi kitandani, seuze nyumbani?

Source: Lobhoko, Ndagafijo.
hapo red ulijulia wapi? na wanafanyia wapi na kwenye nini?
 
.....juzi huku uswazi mke kamfumania mumewe gesti na mwanaume mwenzake, tena mchana wa jua kali.

Tujitahidi kuomba toba jamani, parapanda karibia itapulizwa. MwanajamiiOne ameielezea vyema kinachomsukuma huyo mwanadada kuvumilia (kwa sasa)

sasa nimeamini kwamba ni kweli kabisa mkuu EMT
Boflo hakukosea aliposema si ajabu wengi wana mpaka wake na watoto.
Na pengine ni watu wanaoheshimika katika jamii lakini wanajihusisha na ushoga.
Lakini hakuna upinzani, chuki au hasira dhidi ya ushoga. Zaidi ni unafiki tuu.

Watu walidhani akina Cameron walikurupuka tuu na kutaka ushoga uhalalishwe.
Watu wao hapa bongo walishamtumia cables kibao kuwa ushoga bongo ni business as usual.
Sema tuu yule jamaa wa Wikileaks hajazikamata hizo cables mbona mpaka na majina ya watu fulani fulani tungepewa.
 
Last edited by a moderator:
Ova mai dedi bodi....

Mwanaume anaweza fanya kosa la kumpeleka mwanamke chumbani ake pale anapojua mkewe kasafiri. Lakini eti apeleke senge nyumbani wakati wife ako next street? Ngumu kumesa asee...

BTW hii "fijo" na "loboti" machale kundesa!!

sasa wewe unakataa kwasababu hutak ama kwasababu ni kweli haiwezekkani? halafu mbona kama unawasiwasi sana? chezeya mutoto ya mujini ambaye kisu chake kirefu hahhahahha! usimkadirie mtu padogo anything can happen aisee kama huyu kambeba na ukweli mkewe hana cha kufanya zaid ya kusamehe ili life isonge mbele.

it is simple sana ku calculate muda ambao mtu umemwacha mahali na ambapo anaweza kurud home kisha ukajua na weza kufanya haya kwa muda gani basii mbona hesabu ni rahisi sana unashika kanuni kisha unafuata njia baaasi.

BTW unasalimiwa sana na rafiki yako
 
....LoL, Aspirin....zama hizi za 'uwazi' haijalishi tendo linafanyikia wapi kaka...Kuna kesi ya ukweli, na watu ninaowajua mwaka wa nne sasa...

mke aliulizwa, akienda kazini... mumewe(jobless) anafundisha tuition? Huyo mke japo alikuwa anakuta "stained" sheets, mume alikuwa anajitetea mchana akizidiwa alikuwa anapanda mnazi....

... 'siku ya 40' mke alipatwa dharura akarudi nyumbani mapema, akukuta mumewe "anachumishwa" -mboga- na kamvulana ka shule.
 
Dah..!! Kweli dunia imefikia mwisho, yaani anafanya uchafu wake katika chumba anachotumia na mkewe..!!
 
Alitanabaisha kaka Boflo hapa jamvini watu wakamjia juu kama moto wa kifuu.

unajua watu huwa wanamauona Boflo kama mmoja wao but ukweli huwa anayasemea maisha ya hawa mashoga kiundani pasi kuyaficha, istoshe watu hapa hawakaubali tu ukweli ila amshoga wapo.

ndugu yangu ukimuona huyu mama alivyonyongea kisa mawazo utalia, mpaka ananihadithia nilimkuta yuko bar peke yake anakunywa kama mgonjwa kwa bahati nzuri alikuwa jiran yetu zaman sana kisha akahama aliponiona ndoa akona kama kapata mahali pa kupunguzia upepo manake amekaa na hki kitu 3 wks bia kumsimulia mtu. akanieleza mm huku akilia akasema anahtaj tu faraja ili aikubali hiyo hali.
 
Last edited by a moderator:
....LoL, Aspirin....zama hizi za 'uwazi' haijalishi tendo linafanyikia wapi kaka...Kuna kesi ya ukweli, na watu ninaowajua mwaka wa nne sasa...

mke aliulizwa, akienda kazini... mumewe(jobless) anafundisha tuition? Huyo mke japo alikuwa anakuta "stained" sheets, mume alikuwa anajitetea mchana akizidiwa alikuwa anapanda mnazi....

... 'siku ya 40' mke alipatwa dharura akarudi nyumbani mapema, akukuta mumewe "anachumishwa" -mboga- na kamvulana ka shule.
Mbu nilichoona hapa ni laana tu hakuna kingine kabisa. na uoga haupo kabisa nafsi mwa watu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Dah..!! Kweli dunia imefikia mwisho, yaani anafanya uchafu wake katika chumba anachotumia na mkewe..!!

yaani sipati picha kama angekuwa ni mkewe kaleta mwanamke mwingine wanafanya haya ingekuwaje.
 
Haya gfsonwin ni rafiki yangu gani huyo anisalimuye? Wa Tabata au wa Sitaki Shari?

Mwambie nami namsalimu sana. Bado niko machimboni huku Torabora nakusanya vyuma chakavu.
 
Last edited by a moderator:
Haya gfsonwin ni rafiki yangu gani huyo anisalimuye? Wa Tabata au wa Sitaki Shari?

Mwambie nami namsalimu sana. Bado niko machimboni huku Torabora nakusanya vyuma chakavu.
kumbe yupo wa tbt enh! haya mie namjua wa staki shari shshhhhshhhhhhhhh asisiskie mtu haya. baadae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom