Huu ni zaidi ya uvumilivu... BUT Wanaume mwisho wa Habari!

ya knw what they say, ah
WHAT HAPPEN IN VEGAS STAY IN VEGAS, ,, ,, WHAT HAPPEN INSIDE STAYS INSIDE, ,,
LAKINI KWA HII DAHHHHHHHHH LAHAULA NAOMBA LIKIZO YA MUDA
 
....LoL, Aspirin....zama hizi za 'uwazi' haijalishi tendo linafanyikia wapi kaka...Kuna kesi ya ukweli, na watu ninaowajua mwaka wa nne sasa...

mke aliulizwa, akienda kazini... mumewe(jobless) anafundisha tuition? Huyo mke japo alikuwa anakuta "stained" sheets, mume alikuwa anajitetea mchana akizidiwa alikuwa anapanda mnazi....

... 'siku ya 40' mke alipatwa dharura akarudi nyumbani mapema, akukuta mumewe "anachumishwa" -mboga- na kamvulana ka shule.

Dah........ Eh Mola tunusuru! Kwamba anachumishwa na kavulana ka shule?? Hako ni katoto ka mama/baba wa watu jamani!

Soulmate haya na kupanda mnazi ndo kufanyeje tena?
Jamani muwe na asubuhi njema
 
Dah........ Eh Mola tunusuru! Kwamba anachumishwa na kavulana ka shule?? Hako ni katoto ka mama/baba wa watu jamani!

Soulmate haya na kupanda mnazi ndo kufanyeje tena?
Jamani muwe na asubuhi njema

nawe pia.
 
MwanajamiiOne na Blaine, hivi kua ma gay wakuzaliwa? je utamjuaje huyu? na je si kwamba wote wanajifunza tu kwenye mazingira?

Hakuna jibu rahisi hapo. Wapo wanaosema wengine wanakuwa hivyo kutokana na mazingira na malezi.

Wengine wanazaliwa hivyo. Lakini wamekuwa conditioned na jamii kuishi kama straight person. Wanakua, wanaoa/olewa, wanazaa na wanaendelea kubakia hivyo mpaka pale wanaposhindwa kuishi maisha ya kudanganya.

People do not become gay. They are heterosexual, homosexual or bisexual. If you believe somebody became gay because they were straight before then maybe they were actually bisexual all along.

It could go either way.
 
Ova mai dedi bodi....

Mwanaume anaweza fanya kosa la kumpeleka mwanamke chumbani ake pale anapojua mkewe kasafiri. Lakini eti apeleke senge nyumbani wakati wife ako next street? Ngumu kumesa asee...

BTW hii "fijo" na "loboti" machale kundesa!!

Hii kwa kweli ni ngumu kimesa
kwa nini machale yanakucheza hapo?
 
Duniani kuna mitihani ya ajabu sana ..
Mwanamke ana roho ngumu sina hakika kama ningeendelea kukaa
Maana kila ningekuwa nikidoo na muzee akili inagoma kabisa .
Mpe pole sana mhusika kwa hili tukio lenye simanzi tele
 
:A S tongue::A S tongue: mwisho wa ubaya, aibu Mungu aninusuru mie na kizazi changu chote.

Mtazoea tu kwa vile hamjazoea ndo mnaona kitu cha ajabu sie wa huku mchambawima tumesha yazoea
 
ngoja kwanza nichape kazi hapa nitarudi tena baadae. but ni stori ya kweli and nimejifunza kwamba dunian hata wa karibu yako sana anaweza kuwa ndo shetan mwenyewe.
 
yaani sipati picha kama angekuwa ni mkewe kaleta mwanamke mwingine wanafanya haya ingekuwaje.

Lol.... Mungu anipe nini zaidi ya hili la kunizawadia K mbili kwa wakati mmoja? Kwa wife nakula K kwa shogaye nakula 0713.

Ila ole wake aniletee kidume kwa room! Huo sasa ndo msala sasa.
 
Duniani kuna mitihani ya ajabu sana ..
Mwanamke ana roho ngumu sina hakika kama ningeendelea kukaa
Maana kila ningekuwa nikidoo na muzee akili inagoma kabisa .
Mpe pole sana mhusika kwa hili tukio lenye simanzi tele

Kusamehe na kusahau ni dalili ya ukomavu.Aliefanya kosa na akajutia na kubadilika kiukweli,mtu huyu huwa wa maana sana!!
 
mpaka u-do na m/me mwenzako means umemtamani, which requires gay feelings na kama ni hivyo then m/mke hana nafasi. wanaoanza 'kujifunza ukubwani' had the feelings tangu zamani lakini hawakufanya kitu either uwoga au hali haikuruhusu.

"Gay feelings" ndio zikoje hizo tena mpaka umtamani mwanaume mwenzako ('mwanamke mwenzako')

....IMO, ukiiendekeza akili kwenye fantasy na sexual adventures za kutumbukiza/kutumbukizwa "funguo" katika "kufuli" silo, utaishia kuharibu mlango mzima!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom