Huu ni zaidi ya uvumilivu... BUT Wanaume mwisho wa Habari!

Hii hadithi. Mana katika maelezo yote umeonyesha possibility zote za mke kufika home. Tena karibu. Na pia kama mme anajua mchezo huo lazima utoke na mavi angewezaje kumpeleka kwake. It's very illogical hasa ulipoandika eti jamaa kashtuka sijafanya lolote. Labd kama unataka kusema kuwa mwanamume alikuwa amempenda Hivi huyo Shida mpaka akili yake ikawa zero
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom