Huu ni wakati adhimu wa upinzani kuchukua nchi, CCM imechoka na imechokwa

Upinzani kwenye serikali yoyote ile ni lazima uwepo ili kuharakisha Maendeleo, achana na yale maneno eti upinzani ulituchelewesha.
Miaka yote CCM wanatawala wao ila hakuna jipya zaidi ya kutubadilishia tu nyimbo.
Alianza JK na Kasi mpya, ari mpya ila mwisho wa siku hakuna lolote lile, ni umasikini mwanzo mwisho kwa watanzania.
Akaja Magufuli na kauli mbiu yake ya Tanzania ya viwanda ila nao hakuna lolote lile zaidi ya porojo tu.
Sasa hivi tupo na mama, yeye anakuambia kazi iendelee. Iendelee wapi? Maneno laini, matamu ila hakuna lolote lile ni yaleyale tu.
Ni wakati muafaka sasa wa CCM kukaa pembeni ,mpishe na wengine. CCM hamjazaliwa kutawala nyie tu Tanzania.
Kwani mkiachia upinzani nao tukapata hata miaka mitano shida ipo wapi? Hapa nazungumzia upinzani Chadema na sio wale wengine wasaka tonge na uteuzi. Chama Cha upinzani makini nchi hii ni chadema tu. Huo ndio ukweli.
Nawaomba wale wote ambao tunasupport upinzani kwa hali na mali tuungane na tushikamane zaidi kuangusha hawa CCM. Hii kazi sio rahisi ila Mimi ninaona ni muda muafaka na adhimu kuwaangusha sasa, tusichoke, tusikate tamaa, wataanguka tu inahitajika nguvu kidogo sana.
Tusitarajie lolote chini ya CCM hii na yoyote itayokuja.
Hebu fikiria chama kimejaza watu wanaowaza uteuzi tu, alafu ndio hawa wanataka kuendelea kutawala. HAPANA
CCM juenj kuwa siku zenu si nyingi mtaanguka.

kwahio ulidhan akija nan ndo umaskini unaondoka? umaskini ukiondoka duniani basi mwisho wa dunia unafika
 
Mlisema haya maneno kuhusu Mungu wenu mnayemuabudu leo yupo futi sita anaoza. JF ipo tutarudia maneno yenu

tafauti ya yeye na wewe ni ndogo sana! kinachokutengenisha yeye na wewe ni kitu kinaitwa mda lakini na wewe utaingia site kuoza vizuri tu wala haina mjadala
 
Upinzani kwenye serikali yoyote ile ni lazima uwepo ili kuharakisha Maendeleo, achana na yale maneno eti upinzani ulituchelewesha.
Miaka yote CCM wanatawala wao ila hakuna jipya zaidi ya kutubadilishia tu nyimbo.
Alianza JK na Kasi mpya, ari mpya ila mwisho wa siku hakuna lolote lile, ni umasikini mwanzo mwisho kwa watanzania.
Akaja Magufuli na kauli mbiu yake ya Tanzania ya viwanda ila nao hakuna lolote lile zaidi ya porojo tu.
Sasa hivi tupo na mama, yeye anakuambia kazi iendelee. Iendelee wapi? Maneno laini, matamu ila hakuna lolote lile ni yaleyale tu.
Ni wakati muafaka sasa wa CCM kukaa pembeni ,mpishe na wengine. CCM hamjazaliwa kutawala nyie tu Tanzania.
Kwani mkiachia upinzani nao tukapata hata miaka mitano shida ipo wapi? Hapa nazungumzia upinzani Chadema na sio wale wengine wasaka tonge na uteuzi. Chama Cha upinzani makini nchi hii ni chadema tu. Huo ndio ukweli.
Nawaomba wale wote ambao tunasupport upinzani kwa hali na mali tuungane na tushikamane zaidi kuangusha hawa CCM. Hii kazi sio rahisi ila Mimi ninaona ni muda muafaka na adhimu kuwaangusha sasa, tusichoke, tusikate tamaa, wataanguka tu inahitajika nguvu kidogo sana.
Tusitarajie lolote chini ya CCM hii na yoyote itayokuja.
Hebu fikiria chama kimejaza watu wanaowaza uteuzi tu, alafu ndio hawa wanataka kuendelea kutawala. HAPANA
CCM juenj kuwa siku zenu si nyingi mtaanguka.
Hizi teuzi zinadhihirisha kuwa ccm haina dira, vyeo vinatolewa kama asante,
 
tafauti ya yeye na wewe ni ndogo sana! kinachokutengenisha yeye na wewe ni kitu kinaitwa mda lakini na wewe utaingia site kuoza vizuri tu wala haina mjadala
Tofauti kubwa ni kwamba mie naamini kwenye kifo Ila yeye aliamini hatakufa ndio maana alifika sehemu ukiacha kujiita jiwe akaitwa Mungu, Yesu na mpaka akaaminisha akina nyie kwamba yeye ni zaidi ya Yesu na malaika.

Tofauti yangu mie sina kiburi cha ubinadamu Wala kupenda madaraka kiasi Cha kutaka kutawala bila ukomo.

Tofauti yangu naamini kwenye haki ya kuishi, Uhuru wa kutoa mawazo naamini kila binadamu wote ni sawa mbele ya Sheria.

Mwenzetu aliyeitwa Mungu na akawa anafurahia alijiona ni Mungu kweli hatakufa na akafa muda ambao hakutegemea.
 
Upinzani kwenye serikali yoyote ile ni lazima uwepo ili kuharakisha Maendeleo, achana na yale maneno eti upinzani ulituchelewesha.
Miaka yote CCM wanatawala wao ila hakuna jipya zaidi ya kutubadilishia tu nyimbo.
Alianza JK na Kasi mpya, ari mpya ila mwisho wa siku hakuna lolote lile, ni umasikini mwanzo mwisho kwa watanzania.
Akaja Magufuli na kauli mbiu yake ya Tanzania ya viwanda ila nao hakuna lolote lile zaidi ya porojo tu.
Sasa hivi tupo na mama, yeye anakuambia kazi iendelee. Iendelee wapi? Maneno laini, matamu ila hakuna lolote lile ni yaleyale tu.
Ni wakati muafaka sasa wa CCM kukaa pembeni ,mpishe na wengine. CCM hamjazaliwa kutawala nyie tu Tanzania.
Kwani mkiachia upinzani nao tukapata hata miaka mitano shida ipo wapi? Hapa nazungumzia upinzani Chadema na sio wale wengine wasaka tonge na uteuzi. Chama Cha upinzani makini nchi hii ni chadema tu. Huo ndio ukweli.
Nawaomba wale wote ambao tunasupport upinzani kwa hali na mali tuungane na tushikamane zaidi kuangusha hawa CCM. Hii kazi sio rahisi ila Mimi ninaona ni muda muafaka na adhimu kuwaangusha sasa, tusichoke, tusikate tamaa, wataanguka tu inahitajika nguvu kidogo sana.
Tusitarajie lolote chini ya CCM hii na yoyote itayokuja.
Hebu fikiria chama kimejaza watu wanaowaza uteuzi tu, alafu ndio hawa wanataka kuendelea kutawala. HAPANA
CCM juenj kuwa siku zenu si nyingi mtaanguka.
Upinzani huu huu wa kuunga mkono juhudi au mwingine mkuu. Cc: Nasari, Kafulia, Lijua-kali, Silinde, Nyalandu, suma-yeeh etc, Mdee na Covid 19 bungen
 
Upinzani kwenye serikali yoyote ile ni lazima uwepo ili kuharakisha Maendeleo, achana na yale maneno eti upinzani ulituchelewesha.
Miaka yote CCM wanatawala wao ila hakuna jipya zaidi ya kutubadilishia tu nyimbo.
Alianza JK na Kasi mpya, ari mpya ila mwisho wa siku hakuna lolote lile, ni umasikini mwanzo mwisho kwa watanzania.
Akaja Magufuli na kauli mbiu yake ya Tanzania ya viwanda ila nao hakuna lolote lile zaidi ya porojo tu.
Sasa hivi tupo na mama, yeye anakuambia kazi iendelee. Iendelee wapi? Maneno laini, matamu ila hakuna lolote lile ni yaleyale tu.
Ni wakati muafaka sasa wa CCM kukaa pembeni ,mpishe na wengine. CCM hamjazaliwa kutawala nyie tu Tanzania.
Kwani mkiachia upinzani nao tukapata hata miaka mitano shida ipo wapi? Hapa nazungumzia upinzani Chadema na sio wale wengine wasaka tonge na uteuzi. Chama Cha upinzani makini nchi hii ni chadema tu. Huo ndio ukweli.
Nawaomba wale wote ambao tunasupport upinzani kwa hali na mali tuungane na tushikamane zaidi kuangusha hawa CCM. Hii kazi sio rahisi ila Mimi ninaona ni muda muafaka na adhimu kuwaangusha sasa, tusichoke, tusikate tamaa, wataanguka tu inahitajika nguvu kidogo sana.
Tusitarajie lolote chini ya CCM hii na yoyote itayokuja.
Hebu fikiria chama kimejaza watu wanaowaza uteuzi tu, alafu ndio hawa wanataka kuendelea kutawala. HAPANA
CCM juenj kuwa siku zenu si nyingi mtaanguka.
ndoto za mchana...
 
Tofauti kubwa ni kwamba mie naamini kwenye kifo Ila yeye aliamini hatakufa ndio maana alifika sehemu ukiacha kujiita jiwe akaitwa Mungu, Yesu na mpaka akaaminisha akina nyie kwamba yeye ni zaidi ya Yesu na malaika.

Tofauti yangu mie sina kiburi cha ubinadamu Wala kupenda madaraka kiasi Cha kutaka kutawala bila ukomo.

Tofauti yangu naamini kwenye haki ya kuishi, Uhuru wa kutoa mawazo naamini kila binadamu wote ni sawa mbele ya Sheria.

Mwenzetu aliyeitwa Mungu na akawa anafurahia alijiona ni Mungu kweli hatakufa na akafa muda ambao hakutegemea.

Kwanza hakuna sehem alishawahi kusema hatakufa and infact alikua mstari wa mbele sana kutukumbusha kwamba tutakufa hilo halina ubishi,
cha pili, hauna kiburi, sawa! haupendi madaraka , sawa! haki ya kuishi ,sawa ! yote haya ukiyajumlisha bado wewe ni mfu mtarajiwa na unapasua kuyaweka kichwan!
 
Kuna kufa na kuna kutangulia kufa na kuna kufa ukiwa mtu wa kawaida na kuna kufa ukiwa mtu mkubwa sana haya yote ni matukio ya kifo Ila Yana tofauti kubwa.

Mtu anakufa akiwa na ulinzi, hospital zote zinamtetemekea, anaishi kwa starehe nna Ile na linakufantu hiyo ni laana.

Laanakum
 
you have serious mental health problem, umeamka leo vizuri kabisa lakini usichokijua ni umejisogeza zaidi kukaribia kifo, lakini pia
magufuli amekufa akiwa na miaka mingap na wewe una miaka mingap? kwahio sasa huna cha ziada ama bonus yoyote because ametangulia, wewe ni mfu unaesubiri certificate! yaaani ni sawa sawa ccm washangilie kifo cha mbowe kikifika? ndo maaana hua mnaitwa nyumbu maaana hamjielewi
 
Kwa NEC ipi mkuu?
hii apa
1624350104907.png
 
Tofauti kubwa ni kwamba mie naamini kwenye kifo Ila yeye aliamini hatakufa ndio maana alifika sehemu ukiacha kujiita jiwe akaitwa Mungu, Yesu na mpaka akaaminisha akina nyie kwamba yeye ni zaidi ya Yesu na malaika.

Tofauti yangu mie sina kiburi cha ubinadamu Wala kupenda madaraka kiasi Cha kutaka kutawala bila ukomo.

Tofauti yangu naamini kwenye haki ya kuishi, Uhuru wa kutoa mawazo naamini kila binadamu wote ni sawa mbele ya Sheria.

Mwenzetu aliyeitwa Mungu na akawa anafurahia alijiona ni Mungu kweli hatakufa na akafa muda ambao hakutegemea.
Wewe ndo utakufa na hakuna atakaye kukumbuka kwa chochote juha wewe!
 
CCM Kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa chini kati ya 2030 -2040 tuombe uzima
 
CCM imechoka na imechokwa, lakini ukweli mchungu bado hamna upinzani imara wa kuchukua nchi , sijui ni ccm wanapenyeza vibaraka wao sijui ni watu tu na tamaa zao za madaraka...

Wengi walio upinzani ndio dizaini za kina mdee na wengineo, safari bado ni ndefu.

Mkuu, be fair to Mdee. Hayuko ovyo kivile. Naamini kuna nguvu nyeti sana changanya na ya dola iliyotumika kumshawishi akengeuke.

Si ajabu hivi sasa hata yeye haamini kilichotokea.
 
Hayuko ovyo ni kweli, ila kitendo cha kukengeuka hakina uhalali kwa namna yeyote ile
 
CCM hamna chama humo, kama ni mke basi unaishi naye kimazoea tu ila mapenzi kwishney,,
 
Upinzani kwenye serikali yoyote ile ni lazima uwepo ili kuharakisha Maendeleo, achana na yale maneno eti upinzani ulituchelewesha.

Miaka yote CCM wanatawala wao ila hakuna jipya zaidi ya kutubadilishia tu nyimbo.
Alianza JK na Kasi mpya, ari mpya ila mwisho wa siku hakuna lolote lile, ni umasikini mwanzo mwisho kwa watanzania.

Akaja Magufuli na kauli mbiu yake ya Tanzania ya viwanda ila nao hakuna lolote lile zaidi ya porojo tu.

Sasa hivi tupo na mama, yeye anakuambia kazi iendelee. Iendelee wapi? Maneno laini, matamu ila hakuna lolote lile ni yaleyale tu.

Ni wakati muafaka sasa wa CCM kukaa pembeni ,mpishe na wengine. CCM hamjazaliwa kutawala nyie tu Tanzania.

Kwani mkiachia upinzani nao tukapata hata miaka mitano shida ipo wapi? Hapa nazungumzia upinzani Chadema na sio wale wengine wasaka tonge na uteuzi. Chama Cha upinzani makini nchi hii ni chadema tu. Huo ndio ukweli.

Nawaomba wale wote ambao tunasupport upinzani kwa hali na mali tuungane na tushikamane zaidi kuangusha hawa CCM. Hii kazi sio rahisi ila Mimi ninaona ni muda muafaka na adhimu kuwaangusha sasa, tusichoke, tusikate tamaa, wataanguka tu inahitajika nguvu kidogo sana.

Tusitarajie lolote chini ya CCM hii na yoyote itayokuja.

Hebu fikiria chama kimejaza watu wanaowaza uteuzi tu, alafu ndio hawa wanataka kuendelea kutawala. HAPANA CCM juenj kuwa siku zenu si nyingi mtaanguka.
tz hakuna upinzani kuna malimbukeni tu hivi unaweza kumuita mbowe ni mpinzani kweli au msanii tu mttu anawadanganya wenzie hawataki kina halima mdee kumbe yuko nao bega kwabega
 
Back
Top Bottom