Xiang Hao
Senior Member
- Nov 19, 2016
- 126
- 97
Habari wanajukwaa mimi ni kijana nimezaliwa miaka 21 iliyopita lakini katika umri wangu wa kujua kuchunguliana sijawahi kupenda, nimeshapitia kwenye mahusiano zaidi ya wasichana watano lakini huwa sidumu nao yaani kimshatongoza haijalishi nitatumia muda gani kumpata lakini miezi 2 ni mingi mno kuendelea nae nakuwa nimemchoka haijalishi kuwa tumeshachunguliana au la. Lakini mimi nakuwa sivutiwi naye kabisa
naomba wenye ujuvi na hili wanijuve kama ndio bado utoto au naumwa
Tanbihi
kama mada haijakupendeza sio lazima kuweka maoni yako, busara na hekma ni jambo la msingi kwa kila mmoja wetu karibuni
naomba wenye ujuvi na hili wanijuve kama ndio bado utoto au naumwa
Tanbihi
kama mada haijakupendeza sio lazima kuweka maoni yako, busara na hekma ni jambo la msingi kwa kila mmoja wetu karibuni