wadau kuna m'babez wa ukweli nimemtemea madini huku na kule mara akaniuliza kwanini umenipenda mimi sio mtu mwingine. . .daah nimezinda unajua imagine kama ungekua wewe ungejibu nini?
Dah kweli hatari kama ndo tunakoelekea wanawake ndo watakuwa wanatutongoza,sasa ww hujui hata kumtofautisha na wanawake wengine sasa ulikuwa unamtongoza wa nin?