kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Imeripotiwa kutoka Bagamoyo kuwa mwanamke mmoja kwa jina ni Mwajuma alikabiliana na majambazi waliovamia nyumba ya jirani yake "mama Mwasama" ktk eneo la Kaole, na kufanikiwa kumuua mmoja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani amesema, na kumpongeza mwanamama huyo kwa uhodari na ujasiri wake. Mama huyo ana umri wa miaka 62, alisema lilikuwa kundi wanaosadikiwa kuwa zaidi ya watano na kufanikiwa kumuua mmojawao.