Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Ustaarabu huo isiutegemee kutoka ccm, wao huamini kuwa wanastahili kuliko yeyote asiye wa itikadi yao.Hivi chama kikikubali ku-cohabitate na upinzani, wakafanya siasa safi za ushindani wa kawaida, wakawa marafiki nje ya siasa na kupunguza uhasama, wakaruhusu waseme kadri wanavyopenda, kutakuwa na shida gani kwa mfano. Naona kama huu utaratibu waliochagua una gharama na stress zisizokuwa na sababu.
Hivi chama kikikubali ku-cohabitate na upinzani, wakafanya siasa safi za ushindani wa kawaida, wakawa marafiki nje ya siasa na kupunguza uhasama, wakaruhusu waseme kadri wanavyopenda, kutakuwa na shida gani kwa mfano. Naona kama huu utaratibu waliochagua una gharama na stress zisizokuwa na sababu.
Mimi nasema ustaarabu huo usiutegemee kutoka kwa watu wa bara, siku zote utengamano wa taifa huletwa na ustaarabu wa viongozi wa juu, safari hii imedhihirika kauli ya nyerere baadhi ya watu au makabila flani hawafai kua kichwa cha nchi. Uvumilivu na ustaarabu upole ukarimu, kwa watu wa pwani pekee.Ustaarabu huo isiutegemee kutoka ccm, wao huamini kuwa wanastahili kuliko yeyote asiye wa itikadi yao.
Waangalie akina mnyeti.
Wapiga kura ni waandaaji wa bao la mkono.Hao wangekuwa wapiga kura basi .....
Tatizo hata wasindikizaji nao mnawaita wapiga kura.
Tafutani daftari,andika Majina yao wote...hafu siku ya kura tick mmoja baada ya mwingine, mje mtoe hesabu ya kuibiwa
Hivi na Nyerere alikuwa wa pwani?Mimi nasema ustaarabu huo usiutegemee kutoka kwa watu wa bara, siku zote utengamano wa taifa huletwa na ustaarabu wa viongozi wa juu, safari hii imedhihirika kauli ya nyerere baadhi ya watu au makabila flani hawafai kua kichwa cha nchi. Uvumilivu na ustaarabu upole ukarimu, kwa watu wa pwani pekee.
Kwa marafiki tulio nao ni jambo ambalo haiwezekani....Uganda na Rwanda wao ndo marafiki zetu...ndo role models wa nchi yetu.....kina Mnyeti ni mafarao wanaweza kusaidia wananchi kuelewa uhalisia Chama cha kijaniHivi chama kikikubali ku-cohabitate na upinzani, wakafanya siasa safi za ushindani wa kawaida, wakawa marafiki nje ya siasa na kupunguza uhasama, wakaruhusu waseme kadri wanavyopenda, kutakuwa na shida gani kwa mfano. Naona kama huu utaratibu waliochagua una gharama na stress zisizokuwa na sababu.
Hivi chama kikikubali ku-cohabitate na upinzani, wakafanya siasa safi za ushindani wa kawaida, wakawa marafiki nje ya siasa na kupunguza uhasama, wakaruhusu waseme kadri wanavyopenda, kutakuwa na shida gani kwa mfano. Naona kama huu utaratibu waliochagua una gharama na stress zisizokuwa na sababu.
Maneno ya mkosaji hayo!!Hao wangekuwa wapiga kura basi .....
Tatizo hata wasindikizaji nao mnawaita wapiga kura.
Tafutani daftari,andika Majina yao wote...hafu siku ya kura tick mmoja baada ya mwingine, mje mtoe hesabu ya kuibiwa
Tatizo mafisi bunduki ndiyo midomo yao ya kujibia hoja za wapinzani.Yaani kwa jinsi ambavyo watanzania tulikuzwa hatukutakiwa kabisa kuwa na SIASA za Chuki,watu wangebishana na mwisho wakakaribishana na chakula,leo Watawala ndiyo waeneza Chuki unategemea watanzania waelewane kweli?Labda siku 'Mungu' akishuka
Matokeo ya hizi siasa za kikaburu zinazofanywa na CCM ni maangamizi huko mbele ya safari. Uzuri tunaweka record ya wale wote wanaotoa kauli za kichochezi huku wakijivika koti la uzalendo.Hivi chama kikikubali ku-cohabitate na upinzani, wakafanya siasa safi za ushindani wa kawaida, wakawa marafiki nje ya siasa na kupunguza uhasama, wakaruhusu waseme kadri wanavyopenda, kutakuwa na shida gani kwa mfano. Naona kama huu utaratibu waliochagua una gharama na stress zisizokuwa na sababu.