hivi mimi ninayetumia caller tune ya P squire na Jay zee nao huwa wanapelekewa gawawiwo lao? ukishindwa kutajirika Tanzania basi hakuna nchi nyingine unayoweza kupata mihela ya bure.
Great comment!!!
hivi mimi ninayetumia caller tune ya P squire na Jay zee nao huwa wanapelekewa gawawiwo lao? ukishindwa kutajirika Tanzania basi hakuna nchi nyingine unayoweza kupata mihela ya bure.
Thanks Eng kwa good analysis... Tatizo watz hatupendani hata kidogo tunaona vyema kumtajirisha makampuni makubwa na kudharau wazazi wetu waliotusomesha.. TCRA wana kila cha kujibu kuhusu wizi huu ... Wao nao ni wezi Kama makampuni ya simu...
UZALENDO bado sana Tanzania
Siyo hilo tu. Kila wanachofanya ni wizi mtupu. Airtel wanatoa promotion za ajabu ajabu kila wakati mara mordem za bure lakini ni mtego wa kukunyonya baadaye. Promotion zote zinatunmika kukusanya mapesa tuu,maswli ya ajabu ajabu unalipa kwa kujibu. Wanakusanya mabillion wanatoa zawadi kiduchu kwa umaskini wa watz. PROMOTION ZA KWELI ZINGETOLEWA KWENYE VOUCHER THAS ALL.
1. Kwenye game mwanzoni share was 50%|50% Na Msanii alifanya Kazi direct Na kampuni la simu, ikumbukwe ringtone SIO program ngeni, Hata kabla ya kutumia Kazi Za wasanii Bado makampuni yalikuwa Na ring tone, Kwa ivo invasion ya kutumia ringtone Za wasanii haiongezi Wala kupunguza utendaji wa motandao ya cm, hivyo Hata ile 50% Kwenye kampuni ya ni fedha ya ziada ya starehe tu.. Kiungwana kabisa wangechukua 20% tu kama operations zao Na kumwachia percent nyingine msanii afaidike. Lakini Kwa roho mbaya zaidi wakaban kufanya kazi Na masanii, wajanja wachache wakachukua as middle pipo Na kujichukulia 20% Na kumwachia Msanii 30%, Baadae ile 20% makampuni ya cm yakajiongezea, Na kuwaachia 30% kati ya punky Na Msanii, Punky anakata 20% Na msanii 10% Na bado Hata hiyo 10% msanii haipati yote.. Huu utauitaje wewe. JE ni halali? Embu uwe Na roho ya kibinaadam. Acheni roho mbaya Kwa wengine , acheni kupanda mgongoni mwa wengine na kuwadharau. Ila Mungu atawalipeni..
2. Umesema Msanii asilipe VAT% embu acheni uongo, kufanikiwa kupata elimu kidogo usiitumie kuwafumba wengine, Msanii anapopiga cm au wateja wake tayari anakatwa VAT, sasa akatwe Mara Ngapi? Akikatwa this way amekatwa Mara ya pili. Nikipiga cm nakatwa VAT yes b'se I am consuming JE nikipokea cm nakatwa tena VAT???!!
3.wewe ni Mtu wa ajab, unaniuliza mimi habari Za marekani? Mie marekani naijulia wapi jamani. Nachojua Taifa la Marekani Na mengine ya Ulaya yako Mbali sana kiuchumi Hata kisiasa. Kufananisha utendaji wetu watanzania Na Taifa lililoendelea sana ni akili ya ajabu sana. Ni kama Mtoto katengeneza GARI la box halafu analinganisha utendaji wake Na magari ya kawaida.. Ajab sana Sijui sisi tutabahatika lini kujitegemea kiakili, kila kitu marekani.. Marekani.. KWANINI tusiongelee Kenya au Rwanda wanaotuzidi kiuchumi..?? Uwe Na Uzalendo!!
.
Kwanza tuanze na hapo kwa hiyo unataka kuniambia mtu anayefanya m-commerce asilipe vat kisa tu anapiga simu na anapopiga simu analipa vat.. so haina haja ya kulipa vat so long as unatumia simu kuwasiliana na wateja wako ...??
au mie nimeelewa vibaya? kama nimeelewa vizuri bro think twice....
.wewe ni Mtu wa ajab, unaniuliza mimi habari Za marekani? Mie marekani naijulia wapi jamani. Nachojua Taifa la Marekani Na mengine ya Ulaya yako Mbali sana kiuchumi Hata kisiasa. Kufananisha utendaji wetu watanzania Na Taifa lililoendelea sana ni akili ya ajabu sana. Ni kama Mtoto katengeneza GARI la box halafu analinganisha utendaji wake Na magari ya kawaida.. Ajab sana Sijui sisi tutabahatika lini kujitegemea kiakili, kila kitu marekani.. Marekani.. KWANINI tusiongelee Kenya au Rwanda wanaotuzidi kiuchumi..?? Uwe Na Uzalendo!!
.
[/QUOTE]hivi hamjui kuwa mnatakiwa muige mataifa mengine yanafanyaje ili muweze kufikia ndoto zenu za kuishi kama wao
wasanii wa kibongo wanataka kuishi kama 50 cent ila leo hii ukiwaambia wafuate mfumo ambao umewawezesha kina 50 cent kufika hapo walipo wanasema ooh wao ni marekani na sisi ni tanzania hatuwawezi
wewe ni Mtu wa ajab, unaniuliza mimi habari Za marekani? Mie marekani naijulia wapi jamani. Nachojua Taifa la Marekani Na mengine ya Ulaya yako Mbali sana kiuchumi Hata kisiasa. Kufananisha utendaji wetu watanzania Na Taifa lililoendelea sana ni akili ya ajabu sana. Ni kama Mtoto katengeneza GARI la box halafu analinganisha utendaji wake Na magari ya kawaida.. Ajab sana Sijui sisi tutabahatika lini kujitegemea kiakili, kila kitu marekani.. Marekani.. KWANINI tusiongelee Kenya au Rwanda wanaotuzidi kiuchumi..?? Uwe Na Uzalendo!!
hapa tunaongelea muzik mkuu sio kitu chochote tunajaribu kujua ni jinsi gani ya kumuinua msanii wa kitanzania standard yake wewe umetolea mfano kenya na rwanda wao mziki wao umefika wapi? angalau ungeisemea Nigeria rwanda ni msanii gani ana mafanikio kumpita ay na diamond sasa lets be honest
kenya kina nonini utawafananisha kimafanikio na kina d banji watoto wa juzi??
tujaribu kufanya impossibilities katika kuleta mafanikio ya wasanii wetu
nimetoa mfano wa usa maana wao wako mbali sana katika swala hili tujue wamefanyaje system zao za usambazaji ukoje, mauzo ya msanii ya u.s.a yakoje na mambo kama hayo
3.wewe ni Mtu wa ajab, unaniuliza mimi habari Za marekani? Mie marekani naijulia wapi jamani. Nachojua Taifa la Marekani Na mengine ya Ulaya yako Mbali sana kiuchumi Hata kisiasa. Kufananisha utendaji wetu watanzania Na Taifa lililoendelea sana ni akili ya ajabu sana. Ni kama Mtoto katengeneza GARI la box halafu analinganisha utendaji wake Na magari ya kawaida.. Ajab sana Sijui sisi tutabahatika lini kujitegemea kiakili, kila kitu marekani.. Marekani.. KWANINI tusiongelee Kenya au Rwanda wanaotuzidi kiuchumi..?? Uwe Na Uzalendo!!
internet uliyonayo isiwe ya kuingia jf tu mkuu